Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

Ndo tatizo hilo. Tanzania udini umetamslaki sana.chanzo ni CCM wenyewe.
 

Rabi yaani Mwalimu .
Au master, Mungu yu pamoja nawe milele.

Tanzania mpya inakuja .
Tutatawala kwa haki .
Na kila mtu atafurahi kuja kuishi Tanzania .

Nchi zote watakimbilia Tanzania na wataiona kama Paradiso . Simba watakua wanapiga stori na Swala na Twiga wanyonyesha watoto wa Chui..

Watanzania wote Tubuni kwa maana Ufalme wa Mungu umekaribia .

Tunataka watu wote wawe hai ili wauone Tanzania mpya yenye Haki na amani na uhuru na Demokrasia ya kweli na maendeleo makubwa .
Hakuna tena kuuana na kutekana
 
Hapo umeenda chaka TEC hawana hizo mbanga. Wanamuunga mkono yeyote yule hata awe msababato. Mhm ni kulinda maslahi ya taifa na raia wake.
 
Aamin,

Blessed be the name of the Lord Jesus/ Yeshua Hamashiach.
 
Acha kupotosha makusudi
 
Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!👌🏿💪🏿
pwagu na pwaguzi mnapotoshana na kupeana matumaini hewa ya kindezi sana aise dah, halafu mnainjooyiiiiii🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…