Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Hoja zake zote kuhusu IGA hazina mashiko since hata Dpworld wenyewe wamesema hawasaini mkataba kuhusu Bandari ya Tanzania....yeye kama wengine kalazimisha Tu kuwa IGA ndo mkataba na final...kitu ambacho hayuko sahihi
Takbiiiiiiir.


Muislam mbele ya mwarabu ni Kama mbwa mbele ya chatu. Hana kauli.

Jislamu jeusi likiona mwarabu linamchukulia Kama mtume,
 
Mkuu umeongea Fact kubwa hapa ila naona wadau wengi wanakimbia hii Fact ya Nmb na Crdb kuwa so successfully watu wengi hawataki kuiongelea.

Nmb imetajwa mwaka 2021 Na Tra kwenye maadhimisho ya Miaka 60 kama kampuni ya Tatu kwa Ulipaji Kodi Tanzania Nyuma ya Geita Gold Mining na TBL.

Kama Kampuni Tatu kubwa zinazoongoza Ulipaji kodi ni Matokeo ya Ubinafsishaji huoni waliopinga Ubinafsishaji wakati wa Mkapa hawakuwa sahihi?

Kama Nchi Tungekua wapi Bila ule Ubinafsishaji? Pengine sasa hivi hata tusingekopesheka na Nchi ingekua Katika Hali mbaya.
 
Huyo takataka Hana unufaika wowote, akichoangalia hapo ni dini tu. Ni choko la machoko
 
Na Shivji na wafuasi wake humu hawataki kabisa Ku acknowledge kuwa tunazo Benki za Serikali na zinafeli bado kila siku as we speak....
Wanaongea as if Mkapa alifuta Benki zote za Serikali...Benki za Serikali zipo lakini hazina uwezo wa Ku perform kabisa....na zingine zimekufa tayari
 
Shivji ni resource person. Shivji mmoja ni sawa sawa na kotena 100,000 zilizojaa vitabu. Apewe maua yake
 
Tufanye kuwa hatumsikilizi huyo Shivji, je ubinafsi wa kipindi cha Mkapa ulikuwa wa mafanikio?
 
Tubinafsishe Basi bunge na Ikulu maana ndio chanzo Cha udhaifu wa mifumo yote nchi hii.

Hata JWTZ TUIKODISHE KWA WAGNER PMC.





Yaani uteue Watoto wa vigogo, waliokusaidia kampeni, machawa,wakwe zako na watu maarufu kwa kuwapa Teuzi za fadhila.

Halafu wapafomu chini ya kiwango, unaona suluhisho ili kupata matokeo ni kubinafsisha kila kitu.

Huo ni ujuha
 
Hoja Yake
-Shivji alilpinga Ubinafsishaji Bank wakati wa Mkapa
-Hizo Bank zilizobinafsishwa kama Nmb na CRDB zimekua kubwa Kushinda Zote
-Bank za Serikali ambazo hazijabinafsishwa zina Hali mbaya ama Zimekufa.

Je Shivji alikua Sahihi kupinga huo Ubinafsishaji? Kama Hakua Sahihi Ana Credibility ya kupinga sasa bila kuclarify makosa yake ya Nyuma?

Ni hoja rahisi kueleweka ila Nyie hamutaki kujadili hoja mnamjadili The Boss.
 
Kwa hiyo mtoa mada unashauri tumsikilize/tuwasikilize akina nani? Tuwasikilize akina Joseph Kasheku Msukuma, au!!!!

Majibu tafadhali.

Msukuma pamoja ni kwamba darasa la Saba ila Kwa upeo anawazid wasomi uchwara wa kukariri wengi tuh.

Usikariri kwamba Kwa kuwa yeye ni shivji basi unapaswa kumsikiliza tuh kama kasuku bila kumchallange.
 
Tufanye kuwa hatumsikilizi huyo Shivji, je ubinafsi wa kipindi cha Mkapa ulikuwa wa mafanikio?
Haukua na Mafanikio asilimia 100, ila Nchi hii inaendeshwa na huo Ubinafsishaji wa mkapa,

1. Makampuni Makubwa yote yanayoongoza Ulipaji kodi, TBL, Nmb, CRDB, Airtel, Geita Gold Mining etc ni zao la Ubinafsishaji.

2. Matajiri wa kubwa nchi hii utajiri wao umetokana na Ubinafsishaji
-Mo na Metl yake wana Viwanda vya Nguo, Mashamba ya mkonge ambayo yamebinafsishwa
-Bakhresa wengi wanasema humu viwanda vya ngano vilivyomtoa ni Ubinafsishaji
-Mengi pia alitoka wakati wa Ubinafsishaji.

Hivyo tunaishi Ubinafsishaji, kuna kipindi nchi hii watu walikua wakipanga foleni kupata mahitaji yao, kipindi Kifupi cha Mkapa na Kikwete tumetoka uchumi wa Dola 200 kwa mtu mmoja hadi Dola 1000, walioishia hawa wawili tunatakiwa tuendelee na momentum ile ile

Kama Kuna Vifungu vya kubadili vibadilishwe ila 100% Dp world waje, Bandari sio madini kwamba yatachimbwa yataisha.
 
Mleta mada unataka tumsikilize Lusinde,Msukuma,Steve Nyerere,Zembwela nk...!!!
 
Kakae na wapuuzi wenzio kina bi kiroboto muambiane hamtutoi kwenye reli.
 
Mkuu Bandari karibia zote Duniani sasa hivi zinaenda kwenye Model ya Public-private ownership.

Dunia nzima inaelekea huko, tutake tusitake, Either tutaibinafshisha Leo Ama tutaibinafshisha miaka 50 ijayo wakati huo ikiwa too late na mizigo yetu yote ishaibiwa na Kenya, Congo na Msumbiji.

China Ambayo inaongoza Duniani Kwa Serikali yao kusimamia makampuni ya ndani wamebinafsisha Bandari, USA, Canada, Uingereza, Uholanzi, Ujerumani na mataifa Makubwa wamebinafsisha Bandari zao,

Huku Africa majirani wote wamebinafsisha sisi tunaendekeza ujamaa wetu
 
Tofautisha ubinafsishaji wa NMB au CRDB na huu utumbo wa DPW..Kwenye hizo benki wawekezaji wamechukua sehemu ya umiliki na kuweza kusimamia na ndiyo maana hata sisi watanzania wengine tuna shares japo kidogo kidogo...hii inayobishaniwa ni ya kumkabidhi mwekezaji aendeshe mwenyewe kwa utashi wake na sisi tunabaki watazamaji....unaonaje sheria ya kuunda TPA Ingebadilishwa ikawa kampuni na DPW ikanunua hisa hata asilimia 60?ingine ikabaki kwa serikali na wananchi?
 
Sasa kama haukuwa na mafanikio ya 100%, si ndio ulipokuwa wasiwasi wa huyo Shivji?
 
Sasa kama haukuwa na mafanikio ya 100%, si ndio ulipokuwa wasiwasi wa huyo Shivji?
Hoja ya mtoa mada ni specific bank na amemcopy Shivji

Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Kama Shivji alikua Wrong kwenye Benki miaka 25 iliopita tayari amejiondolea Credibility ya Kutolea huo mfano.

Sababu bank by Far ni Ubinafsishaji ambao umekuwa Successfully. Zote Nmb na CRDB ni kampuni ambazo ni za kuigwa.

Angetoa mfano mwengine kama viwanda vya mbolea, urafiki na vyenginevyo vilivyokufa pengine hii mada isingekuepo.
 

“Benki za serikali zipo but hazina uwezo wa kupeform “
Huu ni muda wa kutafuta mchawi au kuuliza why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…