It's very funny, Mkapa mwenyewe alikiri sera za ubinafsishaji ni moja ya makosa makubwa aliyofanya enzi za utawala wake.
Leo anazuka mtu anasema era ya Mkapa ilikuwa successful kwenye ubinafsishaji.
Nani wa kumsikiliza hapo.
Nina uhakika asilimia 100 hujasoma kitabu cha Mkapa ila umesikia watu na wewe ukasema.
Mkapa hajuti kufanya privatization, bali anajuta kuwapa baadhi ya watu kampuni bila masharti ambao walitumia Uwekezaji kujinufaisha Binafsi.
Alitolea mfano kiwanda cha matunda korogwe mwekezaji alipopewa aling'oa mitambo na kuweka kwenye kiwanda chake Dar es salaam, laiti kwamba kwenye makubaliano wangeweka lazima kiwanda kiendelezwe pale pale haya yasingetokea.
Hizi ni Baadhi ya Quote toka kitabu chake
"We just disposed of the entity and then left it at that. We should have had a mechanism for monitoring what was going on in these privatized industries,” he added. However, Mkapa regarded mischiefs of the privatization as challenges alongside some success stories and did not allow going back, believing that the decision was right"
"There was no option but privatization really. Enterprises should have been making money and helping with government revenue, yet they were dependent on government handouts. People were fed up with those parastatals which were taking money out of the treasury, instead of generating money for the treasury. Some socialist ideologues were uneasy, but no-one could offer an alternative. What else was there to do other than to try to find businesses to partner with, or to sell these enterprises outright?”
“We had reached a point where many of the pastatal enterprises were looking to the government for subsidies to keep operating, yet these were supposed to be business enterprises,”
So long story short ni kwamba Mkapa anajivunia uwekezaji, ila pia Ana self criticism kwamba hakufanikiwa Asilimia 100, ila kusema Mkapa anajuta Uwekezaji huu ni uongo na maneno hayo hayapo kwenye kitabu chake watu wana copy tu paragraph moja na kuchukua maneno out of Context.