Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Namnukuu Tucker Carlson "we dont choose our martyrs,we can only choose our principles" .
Hata ww chawa wa Dpworld na awamu ya 6 ukija kuwakataa maboss wako baadae tutakuunga mkono kwasababu umesimama tuliposimama..na hiyo ndiyo kawaida.
Wewe hukuwa na uelewa kabisa. Prof alielewesha hasara zake na baada ya kustaafu Mkapa alikubali makosa. Tuwe na kumbukumbu wajameni
 
Katika mikataba ya uwekezaji aliyoingia mkapa ni mingapi iliyofanya vyema
 
Mkuu naomba andikia uzi hii mechi alafu ongezea jina la The Boss kwenye mechi namba mbili.
 
HV hyuy Ni muhindi au Ni kabila gani
 
Hio ni sababu ya hofu ya njaa tu sababu wengi wanaokuwa chini ya CCM wana similar habits.
 
Nimesoma kidogo sana SHAMBULIO lako kwa Issa Shivviji na kuuita " nadharia ya farasi mfu" huenda iko kiujumla sana. Maswali
1. Unaikumbuka CRDB? Hii ilikuwa mahususi kwa wakulima na kukumbwa nakile unakiita jambo la maana. Lakini leo serkali inaanzisha Benki nyingine kwa lengo lilelile. Huoni ni ujinga?

2. Una taarifa NBC iliuzwa bei gani? Na kuishia tena serkali kuwa na NMB?

3. Unaelewa kama Privatization ya Mkapa iliuza mashirika kwa kutupa kiasi kwamba haikuwa na manufaa?. Fikiri mashamba ya Mkonge na akina Chavda. Je umewaza hili?

Swala sio kuuza au kutouza, kubinafisisha au kutobinafsisha. Kuweka muqekezaji au kutoweka. Swala ni manufaa yake unayopata. Hivi nyumba yako ukiamua uweke wapangaji kwa kuwa familia haiitunzi, na wewe kuenda kupanga kwenye pango la laki 3 huku ukilipwa na muwekezaji sh laki 1, hizo laki 2 utakuwa unaongezea kwenye pango lako kuna faida gani? Serkali inaweka muwekezaji halafu inaweka na ruzuku, what a shit?
Issue ya BANDARI si mbaya ikiingiwa kwa uzuri ili Bandari yetu itoke kwenye mfumo mbaya usio tija na wa kiushindani. Lakini je iingiweje?
 
Profesa Shivji ni miongoni mwa maprofesa wengi tu nisioelewa umuhimu wao hapa Tanzania. Sijawahi ona impact ya maana ya maprofesa wetu zaidi ya kutuzalishia wafanyakazi wezi na mafisadi tu. Siamini katika communist.
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Elimu
Elimu
Elimu
Haina mwisho na si bado ni mwalimu kwa maana yako hata wanafunzi anao wafundisha WABEZWE na WASIAJILIWE? Kwa hoja zako.
 
NBC kuuzwa bei gani?wewe ulithibitisha thamani ya NBC ni tofauti na bei husika?au thamani ya Benki ni majengo?Leo NBC ina thamani gani?serikali ina hisa asilimia ngapi zenye thamani gani? Serikali imepata gawio la kiasi gani Kwa miaka 25?..

Crdb NMB na NBC zote Leo zina thamani gani??...
Usipotoshe watu kuwa tuliuza NBC ndo tukaanzisha NMB sio kweli.. NMB iliundwa kama sehemu ya mchakato WA kuuza NBC...ndo maana NMB ikarithi pia majengo ya NBC...
 
Watanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa
Hata huko hakuna kitu tunapigwa tu kila mahali hatuwezi.
 
Uongo mkubwaa
 
Chawa wa mama kazini badala ujadili hoja za Shivji unamjadili Shivji mwenyewe.
Nonsense.
 
Umesema kile kile. Umeuza na kuanzisha . Sasa nini?

Ujue sio kuwa watu hatupendi Bandari iwe compitetive ukiangalia na nchi zimetuzunguka. Sio kweli, tusiwekeane maneno mdomoni TUNATAKA lakini laxima maslahi yawe sawa kwa sawa. Wewe sasa zipinge hoja za Prof Issa kwa hoja moja baada ya nyingine, mbona utakuwa umesaidia sana.
Halafu usaidie hili kama IGA sio msingi wa kile kitakuja
 
Sahihi kabisa. Ndio maana nikamwambia "rudia kusoma ulichoandika". Hata mfano wake wa mashamba ya mkonge, natamani aeleze namna tulivyotoka uzalishaji wa tani laki 2+ hadi chini ya 20k na hali ikoje baada ya akina Mo kushika hatamu huko kwenye mkonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…