CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
Matatizo yote hayo yameletea na genge la LissuCHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Una hojaCHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!
CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Hayo ni mapito tu. Tusikate tamaa. Upande wa wananchi wameshakubali kauli mbiu ya chadema NO REFORMS NO ELECTION.CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
ndipo mnapokosea. Mmeipandikiza hiyo dhana na acha iwatafune. Mnadhani kuendesha chama ni sawa na porojo za kwenye Maria space. Poor you, mmeshindwa kuunganisha chama.CHADEMA kinateswa na masalia/mapando ya Mbowe na mapandikizi ya mfumo
Madhara ya kuwa na kiongozi mfalme ,pale anapolazimishwa kuondoka kama mzee Mbowe ni lazima taasisi husika nayo izame.CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Kazeni buti, wapinzani. The darkest hour is just before dawn!CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Kwa kusudi la Mungu mwenyewe Chadema itavuka na itakuwa mshindi kwenye hii battle hutaamini!CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Kwahiyo kila mtu anatakiwa awe mwizi kama Mwigulu ili nyumbani kwake kusiwe kama kwa professor Sarungi?!CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!