PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo

ndipo mnapokosea. Mmeipandikiza hiyo dhana na acha iwatafune. Mnadhani kuendesha chama ni sawa na porojo za kwenye Maria space. Poor you, mmeshindwa kuunganisha chama.
Unaunganisha chama na kundi linalopinga maamuzi halali ya chama, kisa wao wamekosa uongozi?
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Walivyoshiriki chaguzi za serikali za mitaa walii pata nini, au nini kimebadirika ,Mimi naona kama vile viongozi wao wanahoja shida Ipo Kwa hao wanaotaka Leo uchaguzi kesho wanalalamika wameibiwa huo si uchizi .
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1.No reforms, no election bado haijaeleweka.
2.G55 wanataka kukipasua chama
3.COVID-19 wanataka kurudi
4.Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda

Tulishaona tangia awali CDM inaenda kufa kwenye mikono ya TAL.

G55 wasikilizwe wana hoja za msingi.

Hauwezi kuzuia uchaguzi uliopo kisheria ,TAL mara nyingi kikianza kunuka anakimbia ubelgiji anawaacha wenzake magerezani wanasota ,wao washajijenga Heche ana bioashara zake ambazo zinamuingizia zaidi ya milioni 600 kwa msimu wa mavuno ,G55 wanataka nao wajaribu bahati yao maana walishawekeza senti zao kujenga chama.

WaTZ walivyo waogoa wakiona polisi tu barabarani wanaweza hata kuogopa kutoka ndani ,kwahiyo kuzuia uchaguzi haipo ,washiriki uchaguzi ila wapambane zaidi kimkakati kama walivylianzisha jimbo la Kinondoni....hao watu walifanya mapinduzi hivyo hawezi kuondolewa kwa kikaratasi lazima CDM ipambane hasa na si kwa kususa ,ukisusa wao wala si mmemsikia Nchimbi? Nchimbi ameongea ukweli mtupu hata vyama vyote vikisusa ikabakia sisiemu uchaguzi utafanyika tu ila kura itakuwa ndiyo au hapana.
 
Unaendaje kushiriki uchaguzi ambao unajua kuwa hata ukishinda hutangazwi, rejea serikali za mitaa, komredi Yuko saw kusema hivyo Kwa kuwa sisi ndo wenye KilaKitu tuna tume tuna dora
 
Sugu ,heche walitaka wasitangazwe baada ya kushinda lakini mtiti ulikuwa mzito ikabidi tu watangazwe.

Hawa Jamaa wanatangazwa kwa kura feki ,sasa ukiweza kudhibiti kura feki hawatoboi ,ndiyo maana wanakataa kuapishwa mawakala ,wanakataa kupitisha wagombea ,CDM wakiweza kuwadhiti kwenye mawakala na kuengua wagombea wanashinda mchana kweupe pamoja na hiyo hiyo NEC ya mchongo.

DED anachofanya ni kuwaengua mawakala hapo ndipo polisisemu na walimu wanaingiza kura feki lakini vituo vya kura vikiwa na mawakala hawawezi kupinduia matokea maana wanajua kitanuka.
 
Hao G55 naona wana hoja nzuri tu..Lissu akikaza Fuvu hao jamaa watahalalishwa kugombea na CCM..na watashinda. Kitacho fuata ni kukimbizana kama covid 19
 
Zamani walikuwa wanashiriki vp? Kipnd cha Lissu mbunge
 
Dhambi ya kumpindua mhe. Mbowe kwenye kiti chake itawatafuna hadi waishe.
Mbowe lazima atarudi kwenye nafasi yake.
 
Unaendaje kushiriki uchaguzi ambao unajua kuwa hata ukishinda hutangazwi, rejea serikali za mitaa, komredi Yuko saw kusema hivyo Kwa kuwa sisi ndo wenye KilaKitu tuna tume tuna dora
Waliotangazwa miaka iliyopita ilikuwaje mkuu? Hizo ni propaganda za kisiasa tu.
 
Hao G55 naona wana hoja nzuri tu..Lissu akikaza Fuvu hao jamaa watahalalishwa kugombea na CCM..na watashinda. Kitacho fuata ni kukimbizana kama covid 19

Mimi nakubali hoja za heche na TAL kwenye kuwapiga spana SISIEMU ila hawa G55 walichoongea kina mantiki sana kwa mustakabali wa CDM.
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
No Reform No Election haijaleweka na nani?

Hao Njaa 55 waliopuuzwa na Watanzania na Wanachadema wakipasue chama gani?

Covid 19 wana kipi cha kuwatisha CHADEMA?

Subiri tamko la TEC ndo utajua hali ya Uchaguzi mwaka huu utakuwaje

Huo Mfumo kuna wenye akili wanataka kuiokoa nchi ndo wako na Chadema
 
Kabla ya uhuru mwaka 1961 kulikuwa na upinzani mkali kati ya Nyerere na wana Tanu ambao hawakukubaliana naye juu ya kitu nakumbuka kinaitwa kura 3. Lakini bado Nyerere alitoboa. Sijui kama Lissu naye ni Nyerere ajaye. Tusubiri tuone ushindani wa hoja za kweli za kumkomboa Mtanzania zinatoka kundi gani.
 
No Reform No Election haijaleweka na nani?

Hao Njaa 55 waliopuuzwa na Watanzania na Wanachadema wakipasue chama gani?

Covid 19 wana kipi cha kuwatisha CHADEMA?

Subiri tamko la TEC ndo utajua hali ya Uchaguzi mwaka huu utakuwaje

Huo Mfumo kuna wenye akili wanataka kuiokoa nchi ndo wako na Chadema
Wewe una matatizo ya ubongo! Tamko la TEC lipi ambalo lilishawahi kitolewa TZ na watz wakawasikiliza? La Bandari lilosomwa mwezi mzima na hakuna chochote cha maana kilitokea. Sisi wenyewe tuko huko RC tena wenyeviti wa Jumuia usifikiri tunaweza kuperekeshwa kama nyumbu.
 
Sasa hivi Kwa nini hawatangazwi na wanaenguliwa rejea uchaguzi wa 2019,2020 na2024
Hawatangazwi vipi mkuu? Ulitegemea Chadema ya 2019 na 2020 ishinde uchaguzi wakati watz walio wengi walikuwa wanamahaba ya JPM? Be serious acha propaganda za Chadema!
 
Sugu ,heche walitaka wasitangazwe baada ya kushinda lakini mtiti ulikuwa mzito ikabidi tu watangazwe.

Hawa Jamaa wanatangazwa kwa kura feki ,sasa ukiweza kudhibiti kura feki hawatoboi ,ndiyo maana wanakataa kuapishwa mawakala ,wanakataa kupitisha wagombea ,CDM wakiweza kuwadhiti kwenye mawakala na kuengua wagombea wanashinda mchana kweupe pamoja na hiyo hiyo NEC ya mchongo.

DED anachofanya ni kuwaengua mawakala hapo ndipo polisisemu na walimu wanaingiza kura feki lakini vituo vya kura vikiwa na mawakala hawawezi kupinduia matokea maana wanajua kitanuka.
Siku hizi wagombea wengi wa CHADEMA hawafiki hata kwenye sanduku la kupigiwa kura, wanaenguliwa mapema.
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Mkuu, hao 19 ambao wanataka kurudi CDM si waende tu kwenye matawi yao ya Chama wakaombe radhi, na suala litakuwa limeisha. Maana sasa kila mtu anajua kwamba wali lazimishwa ili ionekane democrasia ipo Nchini.
 
Siku hizi wagombea wengi wa CHADEMA hawafiki hata kwenye sanduku la kupigiwa kura, wanaenguliwa mapema.
Wanaenguliwa kwa sababu gani? Wafundisheni kujaza fomu mnakalia kupiga kelele tu mitandaoni. Angalia saa hizi mko busy na mitandao wakati CCM wanaendesha semina kwa wanachama wao kuhusiana na uchaguzi
 
Back
Top Bottom