PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo ni mapito tu. Tusikate tamaa. Upande wa wananchi wameshakubali kauli mbiu ya chadema NO REFORMS NO ELECTION.

Baadhi ya hao mandezi wanavuruga.

Tuombe Mungu viongozi wa dini nao watoe tamko.

Nawahakikishia CCM hapatakalika. Watakuwa kama mbu.
Kwani wananchi watafanya nini?watasaidia nini?

Hao viongozi wa dini Mbona kipindi cha jiwe walifunga midomo?au kwa kua mama kawapa uhuru
Watanzania gani mnawategemea watasaiadia lema na Lisu waingie madarakani

Waitishe hayo maandamano kama hao Watanzania hawatawashangaza,watajikuta lema na lisu wapo peke yao 😃
 
Mkuu, hao 19 ambao wanataka kurudi CDM si waende tu kwenye matawi yao ya Chama wakaombe radhi, na suala litakuwa limeisha. Maana sasa kila mtu anajua kwamba wali lazimishwa ili ionekane democrasia ipo Nchini.
Lisu na Lema hawawataki,watarudi kufanyaje?
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Haahaa uzuri wa chadema wapi na umma
 
Hawatangazwi vipi mkuu? Ulitegemea Chadema ya 2019 na 2020 ishinde uchaguzi wakati watz walio wengi walikuwa wanamahaba ya JPM? Be serious acha propaganda za Chadema!
Ona aibu mkuu hata kidogo. Kama kweli una Imani hata dini yako ya mizimu ni shahidi ya unyama wa hadaa Ile iliyoitwa uchaguzi. Eti nchi nzima 💯 % hakuna mpinzani kwa mahaba yapi.
 
No Reform No Election haijaleweka na nani?

Hao Njaa 55 waliopuuzwa na Watanzania na Wanachadema wakipasue chama gani?

Covid 19 wana kipi cha kuwatisha CHADEMA?

Subiri tamko la TEC ndo utajua hali ya Uchaguzi mwaka huu utakuwaje

Huo Mfumo kuna wenye akili wanataka kuiokoa nchi ndo wako na Chadema
Hawa TEC unawaamini sana mkuu; kwani DRC hawapo wasaidie kuepusha machafuko??

Ma-CCM ni makatili sana na yako kimya saizi kama hayaoni ila yako strategic sana.

Ninaamini baada ya Bunge kuvunjwa na michakato ya uchaguzi kuanza, chama chochote kitakachokuwa hakijajaza fomu za tume kwa ajili ya kushiriki uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya mkutano wowote. Tafsiri yake ni nini, kuna uwezekano watu watapigwa hadi uhaini... zinahitajika hesabu kali sana.. muda mwingine hutakiwi kuwa na akili nyingi sana kuimanipulate siasa. (Refer RAI) TAL ana akili kama kina Masumbuko lamwai, lakini itaendelea kuprove kuna muda unatakiwa usiwe na akili saaaaana kuigeuza siasa uitakavyo.. na kwa sababu ni takwa la kikatiba hata TEC wataishia kuongea tu.
 
Tulishaona tangia awali CDM inaenda kufa kwenye mikono ya TAL.

G55 wasikilizwe wana hoja za msingi.

Hauwezi kuzuia uchaguzi uliopo kisheria ,TAL mara nyingi kikianza kunuka anakimbia ubelgiji anawaacha wenzake magerezani wanasota ,wao washajijenga Heche ana bioashara zake ambazo zinamuingizia zaidi ya milioni 600 kwa msimu wa mavuno ,G55 wanataka nao wajaribu bahati yao maana walishawekeza senti zao kujenga chama.

WaTZ walivyo waogoa wakiona polisi tu barabarani wanaweza hata kuogopa kutoka ndani ,kwahiyo kuzuia uchaguzi haipo ,washiriki uchaguzi ila wapambane zaidi kimkakati kama walivylianzisha jimbo la Kinondoni....hao watu walifanya mapinduzi hivyo hawezi kuondolewa kwa kikaratasi lazima CDM ipambane hasa na si kwa kususa ,ukisusa wao wala si mmemsikia Nchimbi? Nchimbi ameongea ukweli mtupu hata vyama vyote vikisusa ikabakia sisiemu uchaguzi utafanyika tu ila kura itakuwa ndiyo au hapana.
Pole, utakufa ww mkuu
 
Kwani wananchi watafanya nini?watasaidia nini?

Hao viongozi wa dini Mbona kipindi cha jiwe walifunga midomo?au kwa kua mama kawapa uhuru
Watanzania gani mnawategemea watasaiadia lema na Lisu waingie madarakani

Waitishe hayo maandamano kama hao Watanzania hawatawashangaza,watajikuta lema na lisu wapo peke yao 😃
Jikaze mjomba . Nyie ndiyo mlimwaribu hata Mwendazake kwa umbeya ambao hauna maana.

Kauli yenu ya kupita bila kupingwa inapambana kauli ya NO REFORMS NO ELECTION.

Kamfiate Lissu huko nyuma na kauli mbiu yenu ya kupita bila kupingwa kama hamjapopolewa na mawe.

NO REFORMS NO ELECTION
 
Jikaze mjomba . Nyie ndiyo mlimwaribu hata Magufuli kwa umbeya ambao hauna maana.

Kauli yenu ya kupita bila kupingwa inapambana kauli ya NO REFORMS NO ELECTION.

Kamfiate Lissu huko nyuma la kauli mbiu yenu ya kupita bila kupingwa kama hamjapopolewa na mawe.
Hayo mawe,atayapopoa nani au unaandika tu kwa kua ni rahisi 😀.

Malizeni mikutano yenu huko ya kujifurahisha na hela za Tone tone muone kama kuna kitakachobadilika.

Nyie endeleeni kutukanana huko mitandaoni na kufukuzana
 
Tulishaona tangia awali CDM inaenda kufa kwenye mikono ya TAL.

G55 wasikilizwe wana hoja za msingi.

Hauwezi kuzuia uchaguzi uliopo kisheria ,TAL mara nyingi kikianza kunuka anakimbia ubelgiji anawaacha wenzake magerezani wanasota ,wao washajijenga Heche ana bioashara zake ambazo zinamuingizia zaidi ya milioni 600 kwa msimu wa mavuno ,G55 wanataka nao wajaribu bahati yao maana walishawekeza senti zao kujenga chama.

WaTZ walivyo waogoa wakiona polisi tu barabarani wanaweza hata kuogopa kutoka ndani ,kwahiyo kuzuia uchaguzi haipo ,washiriki uchaguzi ila wapambane zaidi kimkakati kama walivylianzisha jimbo la Kinondoni....hao watu walifanya mapinduzi hivyo hawezi kuondolewa kwa kikaratasi lazima CDM ipambane hasa na si kwa kususa ,ukisusa wao wala si mmemsikia Nchimbi? Nchimbi ameongea ukweli mtupu hata vyama vyote vikisusa ikabakia sisiemu uchaguzi utafanyika tu ila kura itakuwa ndiyo au hapana.
Mkuu King Kong pole sana, hii mitego ya kiutawala wakati mwingine, huingia mtegaji mwenyewe. Ajenda mliipanga wote, vizuri sana tena kwa ustaadi haswa, mkizingatia kuwa mtegaji ndie atakaye faidika kwa sababu anajua alivyo utega mtego lakini ikawa sivyondivyo kwa mtegaji, na mteguaji sasa ni mwingine ambaye mawindo yale atayagawa kwa wote. Poleni sana akina Njelu.
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda

Chadema ni sisi tusio kwenye kundi lolote tunao m support mwenyekiti
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Mjinga wewe,unalinganisha familia yenu yenye katibu kata mmoja, polisi wawili na walimu wa3 na ya prof sarungi??? huna adabu
 
Hayo mawe,atayapopoa nani au unaandika tu kwa kua ni rahisi 😀.

Malizeni mikutano yenu huko ya kujifurahisha na hela za Tone tone muone kama kuna kitakachobadilika.

Nyie endeleeni kutukanana huko mitandaoni na kufukuzana
Mbona kama unalia. Mama Samia shikilia hapohapo NO REFORMS NO ELECTION wajifunze. Hawa wanapenda kubebwa, waache wakapambana na wapiga kura.
 
Mama anaupiga Mwingi
Kafungua milango wananchi wanafurahia na wanapenda kutumia haki yao na ifanyiwe kazi kwa haki.

Tanzania sio ya makupe ndugu. Mwendazake mlifanikiwa kumteka.
 
Hao G55 naona wana hoja nzuri tu..Lissu akikaza Fuvu hao jamaa watahalalishwa kugombea na CCM..na watashinda. Kitacho fuata ni kukimbizana kama covid 19
Nadhan uongozi ukae chini na G55 wajadili kufikia mwafaka hawa wana haki ya kusikilzwa hoja zao na kuzipima kwa hekima wote wanahitajiana
 
Wanaenguliwa kwa sababu gani? Wafundisheni kujaza fomu mnakalia kupiga kelele tu mitandaoni. Angalia saa hizi mko busy na mitandao wakati CCM wanaendesha semina kwa wanachama wao kuhusiana na uchaguzi
Noma sana!
 
Walivyoshiriki chaguzi za serikali za mitaa walii pata nini, au nini kimebadirika ,Mimi naona kama vile viongozi wao wanahoja shida Ipo Kwa hao wanaotaka Leo uchaguzi kesho wanalalamika wameibiwa huo si uchizi .
Mkuu, unafahamu kwamba ndani ya chaguzi zetu kuna biashara nyingi sana, tena za fedha ndefu, hicho ndicho kinacho wasumbua watia nia wengi sana na hasa ndani ya vyama vya upinzani. Hivyo, leo ukiwaona wanachama wanao kiuka maazimio ya Chama chao ya kuto ingia kwenye uchaguzi mpaka madai yao ya kikatiba yatekelezwe, hao ni wale wanaona kwamba watakosa kufanya biasha ya uchaguzi ndani ya uchaguzi that's all.
 
Safari yeyote ya mafanikio haijawahi kuwa rahisi lazima Kuna kupita kwenye milima na mabonde lakini mwisho wa siku mwanga wa matumaini bado upo
 
Back
Top Bottom