PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA kinateswa na masalia/mapando ya Mbowe na mapandikizi ya mfumo
Hakiteseki kwa masalia ya Mbowe kinateseka kutojua nini la kufanya.
When you put bunch of fools and idiots wakuonyeshe njia.
 
Chadema ina Tundu tayari
Itoboe nini teña
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Kwenye uchaguzi wao wa ndani wengi walitabiri mpasuko na chama kujifia,but mwisho wa siku nini kilitokea? Hakuna kitu muhimu kwenye taasisi yoyote ile kama kuwa focused na kusimamia kile mlichokubaliana, tena bila kuyumba au kuyumbishwa. Mwisho ukiwaangalia hawa G55 wanachokipigania ni for their personal gain na wala siyo maslahi mapana ya chama. Hawa is another COVID 19 in making...
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Mnachagua mgonjwa wa akili ndo awe kiongozi mkuu wa chama mkitegemea chama kisimame.
Chadomo ndo basi tena. Mlimwondoa mbowe hilo ndo lilikuwa kosa la kiufundi. Yule mwamba ni kiongozi aliyeiva. Kiongozi hsutskiwi kuwa meanaharakati hata kidogo
 
Chadema imeweza Ku-survive miaka mitano ikiwa na mbunge mmmoja

Je itashindwa Ku-survive miaka mingine mitano ikiwa haina mbunge wala ruzuku .

Ni ngumu Sana kuiua taasisi ya Chadema kwakuwa ndo chama Pelkee chenye wanachama wanaojitambua na kujua nini hasa wanataka .
Ili survive kwa sababu ilikuwa na reserve.
 
Hayo ni mapito tu. Tusikate tamaa. Upande wa wananchi wameshakubali kauli mbiu ya chadema NO REFORMS NO ELECTION.

Baadhi ya hao mandezi wanavuruga.

Tuombe Mungu viongozi wa dini nao watoe tamko.

Nawahakikishia CCM hapatakalika. Watakuwa kama mbu.
Hiyo ndoto kavu km ID yako
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!
Tangu lini mtu anae itwa kalumanzila akawa na hoja za maana.???
 
Angalia hoja zangu halafu linganisha na zangu, utaona nani nyumbu kati ya mimi na wewe!
Leo karume day chukua madaftari na notes zako anza ku kremu itakusaidia mbele ya safari.

Otherwise kaa kimya alafu hoja zipi? Zaidi kila muda kuita na kutajataja neno nyumbu!!

Bila shaka hauna malezi ya pande mbili..kwanza umekunywa chai? Uwe na adabu
 
Ni "Karume Day" sio 'karume day"! Shenzi! Kujifanya mkubwa na umemamliza chuo kuandika hujui! PUMBAVU!!
 
No Reform No Election haijaleweka na nani?

Hao Njaa 55 waliopuuzwa na Watanzania na Wanachadema wakipasue chama gani?

Covid 19 wana kipi cha kuwatisha CHADEMA?

Subiri tamko la TEC ndo utajua hali ya Uchaguzi mwaka huu utakuwaje

Huo Mfumo kuna wenye akili wanataka kuiokoa nchi ndo wako na Cha

No Reform No Election haijaleweka na nani?

Hao Njaa 55 waliopuuzwa na Watanzania na Wanachadema wakipasue chama gani?

Covid 19 wana kipi cha kuwatisha CHADEMA?

Subiri tamko la TEC ndo utajua hali ya Uchaguzi mwaka huu utakuwaje

Huo Mfumo kuna wenye akili wanataka kuiokoa nchi ndo wako na Chadema
TEC sio wa kuwategemea mule wapo maaskofu wanaccm wengi tu.
Inahitaji mbinu kali kupambana na CCM.
Kosa kubwa mmelifanya CHADEMA toka mwanzo ni kutokuwa na vyanzo vya mapato vya kukuindesha chama chenu ndo kumesababisha matatizo yote haya.Njaa n kitu kibaya sana.
Watanzania walivyo waoga sioni mtu wa kujitokeza kuandamana kupinga uchaguzi.
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Dhahabu iliyobora imepitia misukosuko mingi sio kemikali,nyundo na hata moto,hivyo inavyoendelea kunyesha panapo vuja hadharani.
 
CHADEMA imepata viongozi wa hovyo wanaoendeshwa na mihemuko tu!
Ukiwapa maoni tofauti wanakimbilia hoja dhaifu kuwa unatumiwa na CCM.
Hawa viongozi wa CHADEMA thinking yao Haina tofauti na wale WASABATO MASALIA walioenda kulala pale Airport kwamba watasafiri kwa miujiza pasipo kuwa na Passport , Ticket za ndege Wala destination!!

CHADEMA wamepata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea!
Nilishasema hapa kwamba mvuvi mjinga hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kuelekea anakokwenda.
Wakija kushtuka it will be too late acha waendelee kudanganywa na Maria Sarungi,!
Mazingira ya hovyo alimofia Profesa Sarungi ,inashangaza kuona Kuna watu Tena wasomi wanakubali kumsikiliza Maria Sarungi,!
Kwa misimamo hii ya kijinga baada ya uchaguzi CHADEMA itakuwa mahame kama nyumbani kwa Profesa Sarungi!

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg
 
Back
Top Bottom