PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA kinateswa na masalia/mapando ya Mbowe na mapandikizi ya mfumo
Hakiteseki kwa masalia ya Mbowe kinateseka kutojua nini la kufanya.
When you put bunch of fools and idiots wakuonyeshe njia.
 
Chadema ina Tundu tayari
Itoboe nini teña
 
Kwenye uchaguzi wao wa ndani wengi walitabiri mpasuko na chama kujifia,but mwisho wa siku nini kilitokea? Hakuna kitu muhimu kwenye taasisi yoyote ile kama kuwa focused na kusimamia kile mlichokubaliana, tena bila kuyumba au kuyumbishwa. Mwisho ukiwaangalia hawa G55 wanachokipigania ni for their personal gain na wala siyo maslahi mapana ya chama. Hawa is another COVID 19 in making...
 
Mnachagua mgonjwa wa akili ndo awe kiongozi mkuu wa chama mkitegemea chama kisimame.
Chadomo ndo basi tena. Mlimwondoa mbowe hilo ndo lilikuwa kosa la kiufundi. Yule mwamba ni kiongozi aliyeiva. Kiongozi hsutskiwi kuwa meanaharakati hata kidogo
 
Ili survive kwa sababu ilikuwa na reserve.
 
Hayo ni mapito tu. Tusikate tamaa. Upande wa wananchi wameshakubali kauli mbiu ya chadema NO REFORMS NO ELECTION.

Baadhi ya hao mandezi wanavuruga.

Tuombe Mungu viongozi wa dini nao watoe tamko.

Nawahakikishia CCM hapatakalika. Watakuwa kama mbu.
Hiyo ndoto kavu km ID yako
 
Tangu lini mtu anae itwa kalumanzila akawa na hoja za maana.???
 
Angalia hoja zangu halafu linganisha na zangu, utaona nani nyumbu kati ya mimi na wewe!
Leo karume day chukua madaftari na notes zako anza ku kremu itakusaidia mbele ya safari.

Otherwise kaa kimya alafu hoja zipi? Zaidi kila muda kuita na kutajataja neno nyumbu!!

Bila shaka hauna malezi ya pande mbili..kwanza umekunywa chai? Uwe na adabu
 
Ni "Karume Day" sio 'karume day"! Shenzi! Kujifanya mkubwa na umemamliza chuo kuandika hujui! PUMBAVU!!
 

TEC sio wa kuwategemea mule wapo maaskofu wanaccm wengi tu.
Inahitaji mbinu kali kupambana na CCM.
Kosa kubwa mmelifanya CHADEMA toka mwanzo ni kutokuwa na vyanzo vya mapato vya kukuindesha chama chenu ndo kumesababisha matatizo yote haya.Njaa n kitu kibaya sana.
Watanzania walivyo waoga sioni mtu wa kujitokeza kuandamana kupinga uchaguzi.
 
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,

1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Dhahabu iliyobora imepitia misukosuko mingi sio kemikali,nyundo na hata moto,hivyo inavyoendelea kunyesha panapo vuja hadharani.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…