Haja zao ni sawa na zile la kundi covid19 hivi sasa napendekeza jina liwe mpox55Tulishaona tangia awali CDM inaenda kufa kwenye mikono ya TAL.
G55 wasikilizwe wana hoja za msingi.
Hauwezi kuzuia uchaguzi uliopo kisheria ,TAL mara nyingi kikianza kunuka anakimbia ubelgiji anawaacha wenzake magerezani wanasota ,wao washajijenga Heche ana bioashara zake ambazo zinamuingizia zaidi ya milioni 600 kwa msimu wa mavuno ,G55 wanataka nao wajaribu bahati yao maana walishawekeza senti zao kujenga chama.
WaTZ walivyo waogoa wakiona polisi tu barabarani wanaweza hata kuogopa kutoka ndani ,kwahiyo kuzuia uchaguzi haipo ,washiriki uchaguzi ila wapambane zaidi kimkakati kama walivylianzisha jimbo la Kinondoni....hao watu walifanya mapinduzi hivyo hawezi kuondolewa kwa kikaratasi lazima CDM ipambane hasa na si kwa kususa ,ukisusa wao wala si mmemsikia Nchimbi? Nchimbi ameongea ukweli mtupu hata vyama vyote vikisusa ikabakia sisiemu uchaguzi utafanyika tu ila kura itakuwa ndiyo au hapana.
Siasa ni mikakati sio swala la Mungu.Wenzetu wazungu wangekua wanamsubiri Mungu kwenye kila jambo lao wangechelewa sana kama ilivyo waafrika leo.Mungu alitupa akili lakini bado tunamsuubiri aje kutufanyia uku tukijipa matumaini.Kwa kusudi la Mungu mwenyewe Chadema itavuka na itakuwa mshindi kwenye hii battle hutaamini!
Jeuri ya msingida na kukosa hekima ya kuua makundi ya uchaguzi ndio chanzo cha maadui kupata nguvu.Alitakiwa asikie kauli ya Mbowe kwamba waponye majeraha ya uchaguzi.Lisu anajua kuongea ila kakosa mbinu za uongozi,bora hata achote hekima kwa HecheCHADEMA kinateswa na masalia/mapando ya Mbowe na mapandikizi ya mfumo
Mimi sikubaliani kabisa na uchaguzi unavyoendeshwa na TAMISEMI na NEC ila pia sikubaliana na kutoshiriki uchaguzi kwa CDM ,CDM kutoshiriki ni sawa na muuza nyama kumsusia fisi bucha...sisiemu watafurahi sana CDM ikisusia uchaguzi.Kabisa mkuu..
Pole, utakufa ww mkuu