Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

Mtu Kawa understanding girlfriend we huoni njaa ndo maan tunakua mean lazima adi mkodi mlipe ๐Ÿ˜น understanding tumuachie zuchu๐Ÿ’”
 
Hongera sana
 
Ah safi hiyo naona yale tuliyokubaliana mwaka huu mnatekeleza.
No dating broke ladies. Wacha wagegedwe na baba zao
 
Nakuelewa dada yangu. Najua KUPEANA NI KIKOA. lazima tupeane. Nachosema ukingalia malalamiko yangu kwenye nyuzi nyingi ni mianamke ile migugumaji ambayo ukijuana naye some days tu anaanza tangaza shida zake. Huyu nlianza na kuwa nampa zawadi ndogo ndogo kumwona reaction yake. Akawa anapokea kwa furaha na upendo akithamini. So zawadi nampa naye ananipa. Na kwa kweli sijampa za malakhi mengi. Sometimes nampelekea ice cream ya tsh 2000 tu nimwone atapokeaje...you know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ