Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mkuu Chizi Maarifa katuletea kapu la TATEPA?
Sasa mwatudanganya niniUle uzi wa kimasihara tunapitia kucheka wanaume mnavyodanganyana 😹😹😹
Hakuna kabisa kwa DUNIA ya sasa... Wanawake wote ni omba omba sana kuliko hata omba omba wale wa barabarani.Ni swala la muda tu, lazima uchezee kizinga. Hakuna mwanamke asiyeomba pesa.
Nimesema wanaume mnavyodanganyana, anasema kapiga kimasihara wakati maelezo yake ni yeye ndo kaliwa kimasihara..!!Sasa mwatudanganya nini
Chai za kusogeza mida ya futari na Daku.Haina haja ya salamu watu tupo busy.
Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake.
Ni mdada mrembo na kichwani ana kitu huyu akili anazo kumbuka ni dkt bingwa.
tukaanza urafiki na mimi cares kama zote mwishoo eeeeeh.... nikaanza tukionana tunakumbatiana, tunakisiana nakadhalika. bila kumwambia nampenda tumekuwa wapenzi. sikumtongoza wala nini... tumejikuta tu tumependana.
huyu dada alichonishangaza siku zote hizi. hajawahi kuniomba pesa wala fedha. yaani hapo ndo nikasema ngoja kwa kweli nidumu naye maana mwezi wa 3 huu hajaomba pesa. just imagine hajapatwa na shida ya kuhitaji pesa. si kawaida kwa wanawake wengi wa kisasa. huwa wakikuvumilia sana ni week. kinyume na hapo wanaanza kutanganza shida na matatizo yao. huyu hapana kwa kweli anajiamini ana tumia perfume ya ukweli hasa. zile za 600,000 mpaka million plus huko.
nikasema hii imenifundisha kitu sitaki kabisa mimi kudate wadada wenye njaa. huyu dada ana mapenzi ya dhati yaani nikimgusa tu anavyoshtuka shtuka.... nikimkumbatia kwa namna flani analegea kabisa. yaani yupo ......daaaaah sijui nisemeje. kwa kweli nimeona kila nikija kukaa tz nitakuwa na enjoy sana naye maana nilikuwa nakuwa bored sana nikija TZ na kuanza hangaika na Minunga yembe.
ushauri wangu vijana achaneni na wanawake wenye njaa. mtu unataka mahusiano siyo unataka kwenda hudumia njaa za mtu. siku mbili tatu tu...mama yake mgonjwa, ada imepungua, anaumwa typhoid, simu imeharibika, amefiwa, ana msongo wa mawazo sababu ya madeni n.k huyo achana naye. abaki na uchu wake na wewe ubaki na vitu vyako. utampata mwenye kufanana nawe kiakili.
huyu si mwanamke wa kawaida . toleo kama hili liliisha miaka mingi sana. sielewi imekuaje nimelipata toleo hili. nimeshangaa sana. najiuliza hivi ni kweli ama naota? miezi mitatu hajapata jambo la kuniombea pesa? na sometimes ananiita kunialika some places analipia bills? hili najua wanaume wengi litawaumiza hasa wanaoliwa pesa na kusema si sawa ,sijui mwanaume lazima uhonge. kuonga kwa nyoko. nenda zako misurupwete wewe. wewe honga sisi tule.unahitajika umakini dunia hii kupata mwanamke wa hivi. si mwanamke wa kawaida.
Kwanza huyo mwanamke yeye ndio amefanikiwa sababu amesema anatoka nje ya nchi,huyo anataka kwenda Canada huko ana mahesabu makali mnoMuoe sasa huyo
Acha wivu wewe kubaliana na hali yako....mwanaume haliwi ata siku moja anayeliwa ni mwanamke. Mwenye uhakika wakumwaga ni me sio keNimesema wanaume mnavyodanganyana, anasema kapiga kimasihara wakati maelezo yake ni yeye ndo kaliwa kimasihara..!!
Dah😁😁😁Nasikia na wewe ni muandaaji mzuri wa chai eti kweli??? 🤣 🤣 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em apia.Mweee! Wakati kule kwa kulana kimasikhara upo na nduguyo mshangazi wa jf no.1 Lamomy
Kwa kweli.Ule uzi wa kimasihara tunapitia kucheka wanaume mnavyodanganyana [emoji81][emoji81][emoji81]
Be good and enjoy mzee baba... hivyo tu kisela ila tumeelewa somo na wamekuelewaHakuna anayekula pesa ya mwenzie. Tunashare na dhana ya kula pesa ya mtu ni ya kimaskini. Hakuna pesa inayoliwa na hakuna pesa yenye jinsia au umiliki wa mnyama. Money just exchanges hands that's the formality.
Sasa mwanangu unataka amuombe nani? Kasongo hukumbuka shimo lake... hapo kawaomba wote mliomnyandua kazi kwenu..Wanawake wamezidi kua omba omba asee ni hatari sana , jana nimeshangaa EX wangu ana niomba pesa ya kula
😹😹😹 Kwahiyo hakuna wanawake wanaopanga kuwala ME kimasihara??Acha wivu wewe kubaliana na hali yako....mwanaume haliwi ata siku moja anayeliwa ni mwanamke. Mwenye uhakika wakumwaga ni me sio ke