Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Asa umezoa embe kwenye mnazi basi nawe unataka tuje kuzoa we acha waendelee kutuita wabahili tunatamba nao😂😂Manungayembe mengi sana miaka hiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa umezoa embe kwenye mnazi basi nawe unataka tuje kuzoa we acha waendelee kutuita wabahili tunatamba nao😂😂Manungayembe mengi sana miaka hiii
To cut comment short, wanawake pia hukutana na wanaume wengi wahovyo sana lets admit this fairly wadau. Ila mara ya kwanza nimekutana na my love Anastasia21 mpaka leo hajaniomba pesa zaidi ya kunipa mautundu tu ya maisha.Haina haja ya salamu watu tupo busy.
Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake.
Ni mdada mrembo na kichwani ana kitu huyu akili anazo kumbuka ni dkt bingwa.
tukaanza urafiki na mimi cares kama zote mwishoo eeeeeh.... nikaanza tukionana tunakumbatiana, tunakisiana nakadhalika. bila kumwambia nampenda tumekuwa wapenzi. sikumtongoza wala nini... tumejikuta tu tumependana.
huyu dada alichonishangaza siku zote hizi. hajawahi kuniomba pesa wala fedha. yaani hapo ndo nikasema ngoja kwa kweli nidumu naye maana mwezi wa 3 huu hajaomba pesa. just imagine hajapatwa na shida ya kuhitaji pesa. si kawaida kwa wanawake wengi wa kisasa. huwa wakikuvumilia sana ni week. kinyume na hapo wanaanza kutanganza shida na matatizo yao. huyu hapana kwa kweli anajiamini ana tumia perfume ya ukweli hasa. zile za 600,000 mpaka million plus huko.
nikasema hii imenifundisha kitu sitaki kabisa mimi kudate wadada wenye njaa. huyu dada ana mapenzi ya dhati yaani nikimgusa tu anavyoshtuka shtuka.... nikimkumbatia kwa namna flani analegea kabisa. yaani yupo ......daaaaah sijui nisemeje. kwa kweli nimeona kila nikija kukaa tz nitakuwa na enjoy sana naye maana nilikuwa nakuwa bored sana nikija TZ na kuanza hangaika na Minunga yembe.
ushauri wangu vijana achaneni na wanawake wenye njaa. mtu unataka mahusiano siyo unataka kwenda hudumia njaa za mtu. siku mbili tatu tu...mama yake mgonjwa, ada imepungua, anaumwa typhoid, simu imeharibika, amefiwa, ana msongo wa mawazo sababu ya madeni n.k huyo achana naye. abaki na uchu wake na wewe ubaki na vitu vyako. utampata mwenye kufanana nawe kiakili.
huyu si mwanamke wa kawaida . toleo kama hili liliisha miaka mingi sana. sielewi imekuaje nimelipata toleo hili. nimeshangaa sana. najiuliza hivi ni kweli ama naota? miezi mitatu hajapata jambo la kuniombea pesa? na sometimes ananiita kunialika some places analipia bills? hili najua wanaume wengi litawaumiza hasa wanaoliwa pesa na kusema si sawa ,sijui mwanaume lazima uhonge. kuonga kwa nyoko. nenda zako misurupwete wewe. wewe honga sisi tule.unahitajika umakini dunia hii kupata mwanamke wa hivi. si mwanamke wa kawaida.
Love you hunnie ☺️😍To cut comment short, wanawake pia hukutana na wanaume wengi wahovyo sana lets admit this fairly wadau. Ila mara ya kwanza nimekuatana na my love Anastasia21 mpaka leo hajaniomba pesa zaidi ya kunipa mautundu tu ya maisha.
Oyaa, enjoy mwanangu ila ujishikilie vizuri hela ya mwanamke hailiwi hivi hivi refrain this....
Kila Rachel kwenye ktk hiloTo cut comment short, wanawake pia hukutana na wanaume wengi wahovyo sana lets admit this fairly wadau. Ila mara ya kwanza nimekuatana na my love Anastasia21 mpaka leo hajaniomba pesa zaidi ya kunipa mautundu tu ya maisha.
Oyaa, enjoy mwanangu ila ujishikilie vizuri hela ya mwanamke hailiwi hivi hivi refrain this....
Love you sweetie... Fabian Vitus naona amepandisha sukari now.Love you hunnie ☺️😍
Asante sana kaka us8badikishe number siku ya kutoa mahari nataka wapambe wa Jf kama wa 3 ukiwemo na wewe mje mlete ushuhudaKila Rachel kwenye ktk hilo
@posiblesTeh Teh Teh.......
Tumpe maziwaLove you sweetie... Fabian Vitus naona amepandisha sukari now.
Chizi unajua kuandaa chai tamu sana!!!Haina haja ya salamu watu tupo busy.
Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake.
Ni mdada mrembo na kichwani ana kitu huyu akili anazo kumbuka ni dkt bingwa.
tukaanza urafiki na mimi cares kama zote mwishoo eeeeeh.... nikaanza tukionana tunakumbatiana, tunakisiana nakadhalika. bila kumwambia nampenda tumekuwa wapenzi. sikumtongoza wala nini... tumejikuta tu tumependana.
huyu dada alichonishangaza siku zote hizi. hajawahi kuniomba pesa wala fedha. yaani hapo ndo nikasema ngoja kwa kweli nidumu naye maana mwezi wa 3 huu hajaomba pesa. just imagine hajapatwa na shida ya kuhitaji pesa. si kawaida kwa wanawake wengi wa kisasa. huwa wakikuvumilia sana ni week. kinyume na hapo wanaanza kutanganza shida na matatizo yao. huyu hapana kwa kweli anajiamini ana tumia perfume ya ukweli hasa. zile za 600,000 mpaka million plus huko.
nikasema hii imenifundisha kitu sitaki kabisa mimi kudate wadada wenye njaa. huyu dada ana mapenzi ya dhati yaani nikimgusa tu anavyoshtuka shtuka.... nikimkumbatia kwa namna flani analegea kabisa. yaani yupo ......daaaaah sijui nisemeje. kwa kweli nimeona kila nikija kukaa tz nitakuwa na enjoy sana naye maana nilikuwa nakuwa bored sana nikija TZ na kuanza hangaika na Minunga yembe.
ushauri wangu vijana achaneni na wanawake wenye njaa. mtu unataka mahusiano siyo unataka kwenda hudumia njaa za mtu. siku mbili tatu tu...mama yake mgonjwa, ada imepungua, anaumwa typhoid, simu imeharibika, amefiwa, ana msongo wa mawazo sababu ya madeni n.k huyo achana naye. abaki na uchu wake na wewe ubaki na vitu vyako. utampata mwenye kufanana nawe kiakili.
huyu si mwanamke wa kawaida . toleo kama hili liliisha miaka mingi sana. sielewi imekuaje nimelipata toleo hili. nimeshangaa sana. najiuliza hivi ni kweli ama naota? miezi mitatu hajapata jambo la kuniombea pesa? na sometimes ananiita kunialika some places analipia bills? hili najua wanaume wengi litawaumiza hasa wanaoliwa pesa na kusema si sawa ,sijui mwanaume lazima uhonge. kuonga kwa nyoko. nenda zako misurupwete wewe. wewe honga sisi tule.unahitajika umakini dunia hii kupata mwanamke wa hivi. si mwanamke wa kawaida.
HeheheheheheheheheheheheheheheheNB: mada hii chai ila ni angalizo tu kuwa sometimes mwanamke anakuvuta ujae then akupe jukumu zito
Hehehe!!!Teh Teh Teh.......
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!Jf hasa jukwaa la mapenzi linaongoza kwa members kuleta threads za kutunga, wakiongozwa na comred hatara wa chai holoholo na Binti Sayuni03 huku Chizi Maarifa akifuatia kwa karibu sana.
Nasikia na wewe ni muandaaji mzuri wa chai eti kweli??? 🤣 🤣 🤣Chai hii imezidi viungo na sukari, hainyweki😁😁😁
Ni kweli watu tuna njaa we wahisha tu hiyo chai!!!Haina haja ya salamu
Hakuna anayekula pesa ya mwenzie. Tunashare na dhana ya kula pesa ya mtu ni ya kimaskini. Hakuna pesa inayoliwa na hakuna pesa yenye jinsia au umiliki wa mnyama. Money just exchanges hands that's the formality.To cut comment short, wanawake pia hukutana na wanaume wengi wahovyo sana lets admit this fairly wadau. Ila mara ya kwanza nimekutana na my love Anastasia21 mpaka leo hajaniomba pesa zaidi ya kunipa mautundu tu ya maisha.
Oyaa, enjoy mwanangu ila ujishikilie vizuri hela ya mwanamke hailiwi hivi hivi refrain this....
Zao lenyewe sasa
My crush 😋 kesho weeknd tukaenjoy wapi!?Kuna muda sio kwamba wanawake hawapendi kuomba hela ni vile tu hela atakayo kuomba unayooo???
Anyway hii chai imekosa vitafunwa tu.
Ila🤣🤣🤣🤣🤣🤣My crush 😋 kesho weeknd tukaenjoy wapi!?