Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

Ni chai kabisa mkuu
 
Ni swala la muda tu, lazima uchezee kizinga. Hakuna mwanamke asiyeomba pesa.
Tena kizinga kizito. Na atajisemesha “huyu hajawahi niomba hela na wakati mwingine hata mimi natumia zake, leo hadi ameniomba ni kweli ana shida. Ngoja nimpe”.
Hapo bidada anarudisha hela zake zote alizowahi kulipia bills na zinabaki hela nyingi tu.
 
Mbona Ata bigbom wengine tunapokea mlipata tu wafanya biashara 😹😹
 
Inamaana umekuja kutusema sisi tunaokutana na madunga yembe😂😂dah hii imeniumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…