Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

To cut comment short, wanawake pia hukutana na wanaume wengi wahovyo sana lets admit this fairly wadau. Ila mara ya kwanza nimekutana na my love Anastasia21 mpaka leo hajaniomba pesa zaidi ya kunipa mautundu tu ya maisha.

Oyaa, enjoy mwanangu ila ujishikilie vizuri hela ya mwanamke hailiwi hivi hivi refrain this....
 
Love you hunnie ☺️😍
 
Kila Rachel kwenye ktk hilo
 
Chizi unajua kuandaa chai tamu sana!!!
 
Hakuna anayekula pesa ya mwenzie. Tunashare na dhana ya kula pesa ya mtu ni ya kimaskini. Hakuna pesa inayoliwa na hakuna pesa yenye jinsia au umiliki wa mnyama. Money just exchanges hands that's the formality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…