Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

Chai za kusogeza mida ya futari na Daku.
 
Sasa kama umepata mwanamke wa ndoto zako mbona bado unaweweseka kutuwaza sie waomba hela ? Are you realy happy?
 
Acha wivu wewe kubaliana na hali yako....mwanaume haliwi ata siku moja anayeliwa ni mwanamke. Mwenye uhakika wakumwaga ni me sio ke
😹😹😹 Kwahiyo hakuna wanawake wanaopanga kuwala ME kimasihara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…