Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

Kwani kuna mikoa mingine ambayo wanaweza wakakwama zaidi ya masaa mawili barabarani kusubiri mwenge upite?
Leo nafikiri uliweka kambi kabisa pale eneo la daraja la Nyerere.

Imesumbua sana
 
Nchi ilivyo kua maskini hii kila mara utawasikia viongozi wa serikali ya ccm wakilalamika hakuna pesa lakini hiyo hiyo serikali ya ccm kila mwaka bado inachezea hela zetu kwa huu upumbavu 😡😡 yani wanakopa mabilioni ya pesa Kila siku ili wazichezee kipumbavu namna hiyo 😡 😡 inakera Sana 😡😡
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania bado sana kama wananchi wake ndiyo kama wewe
 
Fact
 
Wasira yupo anatukana na lugha ya kutweza utu wa mtanzania badala ya kujibu hoja za wapinzani Ni jamaa babe Sanaa 😊
 
Harafu mimi sijawahi kusikia serikali inatenga bajeti kiasi kukimbiza huo moto!
Lakini niliwahi kuwaza kuwa huo moto ni uchawi wa Chama pendwa wakupumbaza watanzania wasihoji cho chote hata kama kuna dhuluma inafanyika.
 
Karne hii badala ya kufanya vitu vyenye tija kwa Taifa tunashinda mabarabarani kukimbiza moto nchi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…