Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia
Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5
Haitoshi pia jana nimeibiwa simu na vikorokoro vingine vya kazi hapa ninapoandika nimeingia dukani kununua simu mpya kitu ambacho kimetamatisha pesa zangu zote na duka nimefunga maana naona sielewi
Mwezi huu ni kama makombora ya iran yameelekezwa kwangu