Huu mwezi nimgumu sana kwangu sijui kama nitatoboa salama

Pole masta...kuwa makini kwenye Matumizi yako...mfano hukutakiwa kununua simu janja baada kupitia kadhia zote hizo .... ungenunua kitochi kwanza, hela hzo nyingine walau zingesaidia kuboost mbanga zako
 
Simu ndio kila kitu kwangu bila simu kubwa mkono hauendi kinywani
 
Kupanda na kushuka, kuwa na pesa au kufulia kwenye maisha nikitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom