chumvi yoyoteTumaini lako ni yesu pekee.
Usisahau kuogea chumvi ya mawe.
Hahahahaaaaa hawa wapo kimkakati kutimiza unabii, ........mtawa tambua kwa matunda yao!Tuma sadaka yako kwenda Lipa namba 457889 Jina Aposto wa Miujiza, upate maombi ya ukombozi.
Ukombolewe kwenye vifungo vya kiuchumi.
Yaani kuibiwa vilaki vi 5 tu ndiyo uje Jf kufungua uzi?Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia
Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5
Haitoshi pia jana nimeibiwa simu na vikorokoro vingine vya kazi hapa ninapoandika nimeingia dukani kununua simu mpya kitu ambacho kimetamatisha pesa zangu zote na duka nimefunga maana naona sielewi
Mwezi huu ni kama makombora ya iran yameelekezwa kwangu
Nimekuibia mimi na zote nimetoa sadakaYaani kuibiwa vilaki vi 5 tu ndiyo uje Jf kufungua uzi?
Mbona mimi nimeibiwa 20m na bado sijamwambia mtu