Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Jana China imethibitisha kuwa wale waliosemekana kuwa wamepona wameonekana tena na vimelea vya conv mkuu. Ngoja niitafute ile link ujiridhishe mwenyewe.
Ebola kweli ni tishio lakini tusiidhalau hii CONV kwasababu imeanzia kwao. We should take all precaution measures to make sure it doesn't touch our soil.
Nilisikitika Sana niliposikia tumepokea watalii wakichina wakati nchi zingine duniani zipitisha total immigrational ban to Chinese to their countries
 

Ngoja nisome hiyo
Kwa kweli ni tishio sana mkuu
Yaani huku Europe watu wako makini na wanaogopa haswa
Kila mtu ana antibacterial hand gel mfukoni, kila ukitumia kitu lazima uoshe mikono na kujipaka gel
Kuna jamaa yangu hapa ana mafua makali tangu juzi nimemkimbia sitaki ujinga huu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa makini Mkuu huu ugonjwa si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?
What I can conclude is Conv ni very deadly disease than Ebora.
una kichaa wewe , unalinganisha ebola na corona ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuoa mchina ni lazima uwe na small house Mtanzania. Hao binadamu ni too cold. Niliwahi kutumia pesa mingi kumpata kisha nililaani kutumia pesa yangu kwa binadamu wa aina hiyo. Mwili baridi, shimo baridi, hawafai kabisa hao watu wa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kubeba corona kwenye pochi akaja kutumaliza huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idadi ya watu hiyo kwasababu iliikumba Africa, je fikilia Convi ndo ingeikumba Africa kabla ya huko ulimwenguni wa kwanza unazani idadi ingekuwa the same mkuu?
What I can conclude is Conv ni very deadly disease than Ebora.
Ebola balaa kubwa zaidi kwa kila hali
 
Ebola balaa kubwa zaidi kwa kila hali
Ebola sio deadly Sana ukilinganisha na Corona kwa sababu ebola yenyewe haijifichi ikiingia inakuburuluza ndani ya muda mfupi saana.

Corona yenyewe unakaa nayo Hadi mwezi mzima unaambukiza watu hata 100 ndio inaanza kukupelekesha, hivyo Corona inaua wengi saana tofauti na Ebola yenyewe Ni epidemic disease inalipuka na kuzimika tofauti na Corona inaonekana sio ya kuwaka na kuzima hii tunayo na kukatika sio leo. It's a pandemic disease not epidemic.

And it's here to stay.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwapo pia SARS , sasa sijui Cov19, wakati utafika utajua Ebola ni kama ngumi ya KO kwe mchezo wa ngumi, omba iskupate, Cov19 ni hatari kwa wakati wake, naona option nyingi za utabibu juu yake kutokana na kukawia kwake kuua in "some cases". Wale magwiji wa tiba waweza beba hata serum kwa alyepona wakafanya yao, nmesikia hvyo,
Tchao Muuza Nyanya
 
Tokea lini mchina akawa na chura
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…