fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Jana China imethibitisha kuwa wale waliosemekana kuwa wamepona wameonekana tena na vimelea vya conv mkuu. Ngoja niitafute ile link ujiridhishe mwenyewe.Hilo Pia linawezekana lakini ujue Ebola ilikuwa ikiuwa 25% mpaka 90% kwa walioathirika
Lakini corona imeuwa 10% kwa walioathirika
Hapo inaonekana bado Ebola ilikuwa tishio sana
Yaani kutokwa damu sehemu zote daa mimi naona Ebola kiboko
Hii corona wengi waliopata wametibiwa na kupona wakiwa wametoka nje ya China
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ebola kweli ni tishio lakini tusiidhalau hii CONV kwasababu imeanzia kwao. We should take all precaution measures to make sure it doesn't touch our soil.
Nilisikitika Sana niliposikia tumepokea watalii wakichina wakati nchi zingine duniani zipitisha total immigrational ban to Chinese to their countries