Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hebu Tujadili kama Watanzania wanataka huu usanii au wanahitaji Maisha Bora

Screenshot_2024-06-13-17-08-53-1.png
 
Sidhani kama Kuna tatizo hapa. Hapo utakuta Kuna gari la Waziri, na wanaomsindikiza kama Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, na viongozi wengine waandamizi wa Wizara wanaoelekea Bungeni na inafahamika hao Wote Wana usafiri wao.

Sioni kama kuna matumizi ya rasilimali usio wa kawaida katika msafara huo
 
Back
Top Bottom