Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Sidhani kama Kuna tatizo hapa. Hapo utakuta Kuna gari la Waziri, na wanaomsindikiza kama Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, na viongozi wengine waandamizi wa Wizara wanaoelekea Bungeni na inafahamika hao Wote Wana usafiri wao.

Sioni kama kuna matumizi ya rasilimali usio wa kawaida katika msafara huo
Wangepanda coster wasingefika?
 
Matumizi makubwa na ya kijinga sn ya fedha za umma
Screenshot_2024-06-13-18-27-26-1.png
 
Tabia za kimaskini, mbwembwe nyingi na bajeti ya mikoa kwa asilimia nyingi.
 
Back
Top Bottom