Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Acha ujingaTatizo hujamuelewa katumia fasihi, Usipende kukurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujingaTatizo hujamuelewa katumia fasihi, Usipende kukurupuka
Vijana wa Kenya wangemtia mkong'oto kwa matumizi mabaya ya raslimali ikiwa inatokana na mikopo ambayo italipwa na jeneresheni ijayo. Watanzania tunanyamaza tu kama hatuoni tatizo
Wewe unafikiri yeye haijui mihimili ya Serikali?Acha ujinga
MUNGU anakupenda sana,ndo maana kakunyima 😀😀Nkiwa nalo hata moja hilo Li LC nyapu ztanikoma
Hilo linatongoza lenyewe. Unalipaki tu sehemu wanayopita warembo 😄😄Nkiwa nalo hata moja hilo Li LC nyapu ztanikoma
Wananua tu maV8