Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kiongozi mzalendo sana, hawajawi tokea waziri wa fedha mzalendo kama yeye. Hapendi makuu, anapenda maendeleo hata uchumi ulioimarika kwetu raia ni matokeo ya kazi zake.Kwa kazi anayofanya huo msafara ni mdogo sana kulingana na nafasi yake. Wa Tanzania tupunguze kulalamika magari yenyewe siyo kwamba ni ya anasa kama mataifa mengine. Mh waziri chapa kazi sisi tupo nyuma yako tuna kupenda sana huku mtaani mambo yetu ni mazuri.