Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Hizi kufuru utadhani hawaendi chooni. Nyie nyie nchi hii hii!juzi nilimwona binti mmoja aliambiwa alipie kipimo sh 16,000 (elfu kumi na sita) pale Mloganzila, kwa kweli binti alichanganyikiwa kumi na sita ataitoa wapi? Akawa Sasa bado anapiga mahesabu atarudije Yombo kuitafuta kumi na sita.
Kumbe Kuna watu wako kwenye ma LC 300/2023.
 
Huyu jamaa na ushamba wa kijinga no wonder alichafua mawe yetu, all I can say the man is vain...
 
Acha kabisa
PIGA cha ukucha
6e4cd0b791cd4bf4b129aee1073c7fd2.jpg
 
Back
Top Bottom