Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Sidhani kama Kuna tatizo hapa. Hapo utakuta Kuna gari la Waziri, na wanaomsindikiza kama Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, na viongozi wengine waandamizi wa Wizara wanaoelekea Bungeni na inafahamika hao Wote Wana usafiri wao.

Sioni kama kuna matumizi ya rasilimali usio wa kawaida katika msafara huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…