Huu ndio Msafara wa Mwigulu kuelekea Bungeni kusoma Bajeti Kuu

Gari hizo zote kama billion 3 na ukiangalia vizuri hapo hata barabara wamefunga, halafu anaenda kutangaza kodi mpya na kutuongezea kero zaidi za maisha, waliosema ng'ombe wa maskini hazai hawakukosea
😆😆😆😆
 
Hizi kufuru utadhani hawaendi chooni. Nyie nyie nchi hii hii!juzi nilimwona binti mmoja aliambiwa alipie kipimo sh 16,000 (elfu kumi na sita) pale Mloganzila, kwa kweli binti alichanganyikiwa kumi na sita ataitoa wapi? Akawa Sasa bado anapiga mahesabu atarudije Yombo kuitafuta kumi na sita.
Kumbe Kuna watu wako kwenye ma LC 300/2023.
 
Huyu jamaa na ushamba wa kijinga no wonder alichafua mawe yetu, all I can say the man is vain...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…