Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
hawa viongozi wanaotokana na ufukara wasipewe uongozi anymore. samia na mwiguru ni empty dust bins
Utakufa kabla ya wakati kwa usongo wa mawazo na stress.
Naunga mkono hojaKiongozi mzalendo sana, hawajawi tokea waziri wa fedha mzalendo kama yeye. Hapendi makuu, anapenda maendeleo hata uchumi ulioimarika kwetu raia ni matokeo ya kazi zake.Kwa kazi anayofanya huo msafara ni mdogo sana kulingana na nafasi yake. Wa Tanzania tupunguze kulalamika magari yenyewe siyo kwamba ni ya anasa kama mataifa mengine. Mh waziri chapa kazi sisi tupo nyuma yako tuna kupenda sana huku mtaani mambo yetu ni mazuri.
Weeèee!!!Utakufa kabla ya wakati kwa usongo wa mawazo na stress.
Ndiyo maana kama nchi hatutoboi, tumejaa laana tuNkiwa nalo hata moja hilo Li LC nyapu ztanikoma
Mitatu ! Upi na upi? Kwenye mihimili ya ukweli huwezi kumsikia mbunge akiisifia serikali. Sasa hapa kila mbunge kabla ya kuanza kilichomfanya asimame anaanza kusifia, unategemea huyo mtu ataikosoa na kuirekebisha serikali inayoongozwa na mtu anayemsifia?Unaelewa maana ya mhimili...kwa kukusaidia ipo mitatu tuu, itaje
Kumbe unaelewa bunge nalo ni mhimili, tatizo wabunge wetu kutokana na akili za chama kimoja au kutokuelewa wengi wamejikuta wakifanya kazi kama chawa wa executive branch (President), lakini katiba yetu nayo inmpa nguvu sana Raisi ndio maana anajiona ana nguvu kuliko bunge au mahakama,, kiukweli hao wote watatu inabidi wachekiane ili nchi ifanye kazi Kwa haki, mfano tungekuwa na majority wapinzani wanaojielewa katiba inawapa uwezo wa kumcheck Raisi na hata kumkataa waziri mkuu wake na budget yake na ninafikiri hata kumwondoa (Sina uhakika wanaojua watatuambia , mahakama nazo zina nguvu lakini kutokana na katiba kumpa Raisi kuteua majaji bila kuchekiwa au kuthibitishwa na bunge , majaji wengi wameishia kufanya kazi kama chawa tuu, Kuna mengi na ndio maana wanaoelewa wanataka katiba mpya ili nchi ifanye kazi vizuriMitatu ! Upi na upi? Kwenye mihimili ya ukweli huwezi kumsikia mbunge akiisifia serikali. Sasa hapa kila mbunge kabla ya kuanza kilichomfanya asimame anaanza kusifia, unategemea huyo mtu ataikosoa na kuirekebisha serikali inayoongozwa na mtu anayemsifia?
Kama mbowe anavyotua kwenye mikutano ya hadhara ya chama chake.Hapo hajawa Rais, ile Mwigulu Rais 2015 ingetiki angetua Bungeni na Chopa π
Mbwembwe nyingi
Hao jamaa!Wakina nani?
Hahaha............hao ni waarabu wa Pemba πKama mbowe anavyotua kwenye mikutano ya hadhara ya chama chake.
Hiyo plate namba ni Bure? Hayo matumizi ya barabara umeyaona vizuri?Sidhani kama Kuna tatizo hapa. Hapo utakuta Kuna gari la Waziri, na wanaomsindikiza kama Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, na viongozi wengine waandamizi wa Wizara wanaoelekea Bungeni na inafahamika hao Wote Wana usafiri wao.
Sioni kama kuna matumizi ya rasilimali usio wa kawaida katika msafara huo
Tatizo hujamuelewa katumia fasihi, Usipende kukurupukaUnaelewa maana ya mhimili...kwa kukusaidia ipo mitatu tuu, itaje