Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

Raha ya kuwa mwanaccm, unaweza kumtukana au kumkashifu aliyekuzidi umri mradi yuko upinzani, maneno hayohayo akiyatoa upinzani yanakuwa matusi!
Mkuu elvischirwa , ujinga sio tusi ni hali, na kumuita mtu mjinga sio tusi. Tofauti kufanya ujinga na kumuita mtu mjinga. Mwaalimu Nyerere alitumia sana hili neno, mjinga, wajinga, ya kijinga, ujinga, etc. Ila pia naungana na wewe, inapotokea mtu amekuzidi umri, akafanya mambo ya kijinga, ni kweli sio ustaarabu kumtukana mjinga, na mimi sijamtukana mtu mjinga ila nimeuzungumzia ujinga uliofanyika.

Its very unfortunate, mimi ni mtu wa Nyerere, alikuwa hapendi ujinga, hivyo na mimi pia sipendi ujinga, na kuna ujinga mwingi nimekemea kwenye uchaguzi, japo mimi ni kada, lakini chama changu kikitufanyia ujinga tunakemea, ule uchaguzi mdogo wa Kinondoni kiukweli ulikuwa ni ujinga, sisi makada wazalendo tukakemea ujinga ule, 2020 chama chetu kikajirekebisha kikatuondolea ujinga ule
P
 
Kama Maalim Seif atakubali kuunda serikal ya Umoja wa kitaifa kwa matukio hovyo yaliyojitokeza basi Atakuwa nae ni Mchumia tumbo tu na kwa upande wang hakuna Mwanasiasa wa upinzani nitakayemuamin tena katika nchi ya TANZANIA kwan watakuwa wanatuyumbisha sisi wafuasi wao!.
 
Yes, tena ni ujinga mkubwa sana ambao mpaka leo, anaufidia.
P
Bro Mayalla unayumba haukuwa hivyo kabisa,nakufuatilia sana ww ni mwandish wa habar mzur sana na unajengaga hoja zur sana ktk kuleta maendelea ya nchi yetu,lakini tangu siku ile ulivyouliza swali zur na matata sana pale ikulu na ukajibiwa ndivyo sivyo mpaka leo sikusikii tena,umeamua kuegemea upande mmoja kwa maslah yako na familia yako!,any way sisi wote ni watanzania na tutaishi kwa woga kama wewe lakin ipo siku woga utaisha!
 
Sidhani kama Maalim na chama chake watakubali hili jambo, ikiwa tayari alishatoa kauli hii hapa...

"Uchaguzi ulitekwa na vyombo vya dola. Ikiwa kulikuwa hakuna uchaguzi vipi nitamkubali aliyetangazwa?, hakuwekwa madarakani na wananchi kama Katiba inavyotaka, amewekwa madarakani isivyo halali"
 
Hilo sahauni na halitatokea abadan abadan ,wala msilipigie chapua,ili mpate afweni yaguju,mnalo jiti ni mapambano kwa usiku na mchana kwa muda wa miaka mitano.
 
Ungetumia neno busara ingependeza zaidi, siamini mkeo au mwanao alipotenda kosa la kijinga! Kama ulithubutu kumuita mjinga, hata Nyerere ninaamini maisha yake yote hakuwahi kumuita yeyote kwenye familia yake mjinga, anyway the choice is yours, ila nakuomba usipende kutumia neno baya kwa sababu fulani alipenda kulitumia. Maalim Seif si mjinga ila huenda hakutumia busara kwenye uamuzi wake, huu ni mtazamo wangu na si lazima nawe uufuate.
North Pole and South Pole will never meet because they hate each other, same to CCM members hate opposition members and they have their motto Hii nchi inawenyewe na wenyewe ni wanaccm.
 
Mkuu elvischirwa , asante kwa ushauri huu, ni ukweli sometimes ninakuwa too arrogant kwasababu nakerwa sana na hii tabia ya kususa, nililishauri sana kwa kuwauliza, what do they wish to achieve?, na hadi Maalim Seif nilimuuliza face to face. Anyway asante kunikumbusha, tuige mazuri ya viongozi wetu na sio kuiga yote kwasababu hata hao viongozi sio malaika!. Asante tena kunirudisha kwenye humility!.

Umenikumbusha hata nilipowaambia hivi Chadema,
Kiliwaka
Nikaomba msamaha

Hivyo hata hili naliombea msamaha.
Paskali
 
Hawezi kupewa kwakua hajafikia 10% hata ule uchaguzi was marudio was March 2016 baada ya jecha kuweka Moira kwapani pia hakufikia 10% japokua alishiriki ndomaana akaishia kupewa uwazir was Afya tu
waampe tu kwani ccm wafuata katiba si ubabe tu nchi yakwao wafanya watakavyo
 

Hemu toa vigezo vya maana ya neno ujinga? Unataka aende as low as you do na hiyo ndo busara?
 


Uhuru wa. ZANZIBAR kwanza mengine hatutaki kusikia
 


Hizi pumba za wavamizi peleka Lumumba , ZANZIBAR inapigania uhuru wake tumechoka kuuliwa

ZANZIBAR freedom first.
 
Kwani katiba ya Zanziba inataja makubaliano ya SUK ktk upinzani ni Maalim Seif tu? Mfano kwa sasa CUF pia imepata viti Pemba, hakuna uwezekano kwa mgombea wa CUF au Chama kingine kuingia ktk SUK?
 
Hamad Rashid hakuwa mwanaa CCM yet ali-serve kama Waziri wa Afya kwenye serikali aliyomaliza muda wake.

Bila shaka SuK inawezekana. Na ni vema Malim akubali kutumikia Wazenji kwa siku zake za uzeeni na wenzie wenye damu changa walau wapate fursa ya kukua kisiasa kwa kufanya majukumu
 
Wananchi ndio wamefanya maamuzi ya kuwafanya mkia..unamlaumu Nani hapo..na mkizidi hata huo mkia watawaondolea..subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…