Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Yani royal class ina seat kama za isamilo🤣Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261
Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?