Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hilo behewa la Kenya ni mkono wa Mchina na hilo basi ni Yutong nalo ni mkono wa Mchina
Hayo mabehewa ya mchongoko ni Mkorea Kusini
Ukweli ni kwamba inapohusu interior design ya vyombo vya usafiri wa umma Mchina anajua sana
Maoni yangu wampe kazi Mchina awadizainie behewa lenye level halisi za royal