Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
hatuko mbali na maoni yako mkuu
 
downloadfile-32.jpg
 
Serikali inatakiwa kuwa na Wabunifu wake...! Tatizo Kuna Watu wanafanya kazi ambazo sio zao...!

Nna uhakika Kabisa Kwa Budget ambayo walitoa Kwa kazi hii,. Waangepata Mbunifu mzuri kuwaandalia michoro ya mwonekano wa kisasa wa Mabehewa haya ya Royal, tungepata mwonekano wa Ndani ya. Ndege Kabisa Kwa Gharama ile, coz usikute Mabbehewa ya Royal ni 4 tu.
Behewa la royal ni moja mengije saba ni bussiness class ambayo wanakaa watu 79,
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
tuwape kandarasi bunge la kenya ije ituondolee haya magachagwa ya tanzania
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Hizo train wamenunua North Korea kwa Kim Jong Un?
 
Mmh, unaweza ukatetea jambo Hadi ukaona Sasa Jamani basi...siti kama za lile basi wanaita kidinilo linaenda mahenge....hiv ndo siti kweli hzo za royal au wamekosea?.
 
Behewa la royal ni moja mengije saba ni bussiness class ambayo wanakaa watu 79,
Hapo umeweka vizuri,hilo behewa la Royal limeunganika na kichwa moja kwa moja,nadhani wangeweka wazi raha inayopatikana humo ndani tofauti na hayo mabehewa yatakayokuwa yanavutwa ambayo ni business class...
 
Back
Top Bottom