Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Hiyo ya kwetu labda unaweza kuweka miguu hapo ukishikwa na usingizi,halafu ya kwetu inakwenda haraka zaidi kuliko ya Kenya hivyo hizo complications nyingine hazina maana......
Sawa zinaweza kuwa hazina maana ila hapo kwenye 150k, ndio u maana unapoanzia.
Kama suala ninkwemda haraka bas si bora kusimama tu watuchaji 5k maana kufika ni kule kule tu
 
Mambo luxurious waachie private sector wayafanye fully..., Kodi zetu zikitumike if at all kwenye Huduma..., thus hata kama mabehewa yana nondo ya watu kusimama basi yawepo baadhi lakini gharama iwe ya chini kushinda hata basi.... Karne hii mtu aweze kuishi Morogoro au Dodoma na kufanya kazi Dar.....;
 
Na Wala sio haraka Bali utofauti ni dakika 20 tu na Ile loco tena naamini Ile loco Kuna kadereva kanakuwaga na wastan wa 166 mkizubaa kanafika mpk 170 inaweza fika mapema kuliko hiyo
 
Mambo luxurious waachie private sector wayafanye fully..., Kodi zetu zikitumike if at all kwenye Huduma..., thus hata kama mabehewa yana nondo ya watu kusimama basi yawepo baadhi lakini gharama iwe ya chini kushinda hata basi.... Karne hii mtu aweze kuishi Morogoro au Dodoma na kufanya kazi Dar.....;
Hiyo 150,000 ingekuwa mwanza sawa
 
Hiyo 150,000 ingekuwa mwanza sawa
Yaani kama ni mtu binafsi na anahudumia soko lake niche market; hata angefanya bilioni tatu its okay..., ni private institution na pesa yake binafsi..., ila kwenye Kodi zetu na nchi ambayo transport ni muhimu kwa ujenzi wa taifa na watu kujipatia mkate wao wa kila siku..., utendaji wa hizi mali za UMMA ninaupima kwa affordability na sio how luxury au petty it looks... hata wakiweka behewa moja na wenye pesa basi waweke mengine 30 ya walalahoi wasio na alternative...
 
Bora nipande hii
IMG_4156.jpeg
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Hivyo viti mbona kama vimetengenezwa Keko magurumbasi😅😅
 
Yaani kama ni mtu binafsi na anahudumia soko lake niche market; hata angefanya bilioni tatu its okay..., ni private institution na pesa yake binafsi..., ila kwenye Kodi zetu na nchi ambayo transport ni muhimu kwa ujenzi wa taifa na watu kujipatia mkate wao wa kila siku..., utendaji wa hizi mali za UMMA ninaupima kwa affordability na sio how luxury au petty it looks... hata wakiweka behewa moja na wenye pesa basi waweke mengine 30 ya walalahoi wasio na alternative...
You are Intelligent Man. Bravo!
 
Kusoma hujui hata picha umeshindwa kutazama?

Ume address vitu viwili tofauti....
1. Umeonesha nauli kwenye maandishi (inayo tozwa kwa Royal class)
2. ukaweka picha ya daraja la tatu (ukiaminisha watu kuwa ndio Royal class)

Katafute Picha ya uhakika ya Royal Class uambatanishe kwenye hiyo nauli, ILI usipotezee watu muda kujadili kitu kisicho sahihi...
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Hiyo Royal ya SGR ya Bongo watakuwa wamekosea picha.hiyo si ni ile ya Mwakyembe kweli.mkae kwa kupumuliana hivyo halafu ulipe 150k to Dom,si heri niongezw kidogo niende na ATCL
 
Back
Top Bottom