Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Yani royal class ina seat kama za isamilo🤣
 
Wacha tumuite kadogosa aje atoe ufafanuzi!
 

Boss una uhakika hicho kiti cha SGR TZ kuwa ni Royal?,
Pamoja na kwamba sijachungulia huko Royal kukoje ila kwa akili ya kawaida hicho kiti ni cha daraja la tatu....
ACHA KUPOTOSHA!!!
 
Nauli kutoka Dsm hadi Dodoma ni 150,000/= ? Hiyo 150,000/= ni pesa ya Tanzania au pesa ya Zimbabwe??
Hiyo ya mchongoko watapanda viongozi zi wanaolipiwa nauli na serikali, sie ngumbaro ile ya naulin32000 inatufaaa.
Ndio sababu miradi ya serikali huwa inakufa kibudu, maana hii mchongoko inaenda kuwa ni mzigo wa serikali kimatumizi.
Haiingii akilini pesa niliyoitafuta kwa jasho niende kuichoma kwa masaa mawili bila sababu za maana,
Kwenye booking nimeona loyal class kwa kesho tar 2 ipo fully booked, naamini sio sisis ni wao wenyewe viongozi wanasafiri.
 
Huna hela, halafu siku mbili hizi wamepiga faida 18b
 
Boss una uhakika hicho kiti cha SGR TZ kuwa ni Royal?,
Pamoja na kwamba sijachungulia huko Royal kukoje ila kwa akili ya kawaida hicho kiti ni cha daraja la tatu....
ACHA KUPOTOSHA!!!
Mabehewa yote 8 kwenye treni yamchongoko ni business class, nauli ya chini ni 120000, behewa moja ni royal class ndio hilo, Lina nauli ya 150,000.
 
Mchg Msigwa anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…