Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

Hii road ndo itakuja Hadi huku Namtumbo??
Wafanye hivyo maana Watu wa ifakara wanapata tabu sana kuja Lindi ni hadi upite Dar au Makambako siku mbili njiani ,wakati wakipita Hifadhi ya Nyerere ni masaa manne tu washafika Liwale.
 
Halafu mshauri ni Local Company, ambaye sehemu ya TANROADS
Ndiyo wanasimamia na Ujenzi wa Bwawa la Nyerere na Viwanja wa Ndege kwa sasa.
Bado huwaamini???
 
Huo mradi wa jiwe kwani umesahau lijualikali alipiga mpaka magoti akiomba hiyo rami ijengwe jiwe akapiga simu ujenzi ukaanza hapo hapo
Acha upotoshaji wewe, hiyo barabara fedha zimetoka israel, jiulize kwanini TANROADS walikuwa hawatii maguu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…