Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wewe ndiye MnafikiUNAFIKI wa kiwango cha 💯.
Kunguni Luca. 😂😂😂Wewe ndiye Mnafiki
Mimi siyo kunguniKunguni Luca. 😂😂😂
Hili limamama sijui lina mtindio wa ubongo... Halina hata chembe ya aibu.Ndugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.
Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Amekuambia ukweli wewe ulichokiposti hakuna uhalisia wake katika fikra zako hivyo Yuko sahihi wewe Lucas Mwashambwa ni mnafiki +unajipendekeza Ili ufiche maovu Yako serikali isiyaoneWewe ndiye Mnafiki
Thank you Mom.Ndugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.
Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi kupewa hata ubalozi wa Kijiji hata ukisia ukiwa uchiNdugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.
Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa nini kuanzia miaka 2016 hivi hotuba za Mwalimu Nyererere hazirushwi kwenye television ya taifa.Tunaomba utuulizie huko mkuuNdugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.
Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ila nani? Kupe?Mimi siyo kunguni
Usidhalilishe wamama, Hilo jamaa siyo limama, ni liupinde unajisumbua kuhangaika nae hayanaga aibu hayo majibu.Hili limamama sijui lina mtindio wa ubongo... Halina hata chembe ya aibu.