Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
kumbe jamaa bado yupoTANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."
— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)
View attachment 3363829
Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!
#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
CCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .
Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .
Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .
CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA

TUNAIPIGIA CCM
Alisikika nabii kiboko ya wachawi.Uchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia
Huyu wakili wa Lissu na mahusiano yao yanajulikana.TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."
— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)
View attachment 3363829
Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!
#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
CCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .
Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .
Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .
CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
Unafanyikaje ikiwa wapinzani wanafungwa ili kusiwe na haki?Uchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia
Walio karibu naye wanasema analala chini ya maji (bahari ya Hindi) kuomba mizimu imsamehe kwa damu anazomwaga bila sababu. Yule sheikh wake kwa kweli ana kazi ya ziada.Siamini kama Maza anapata usingizi siku hizi. Kama anaweza kulala masaa zaidi ya 3 kwa siku basi ana roho ngumu sana.
No reform no election
watu wanaotegemea polisi kusurvive political life huwa hawajaliSiamini kama Maza anapata usingizi siku hizi. Kama anaweza kulala masaa zaidi ya 3 kwa siku basi ana roho ngumu sana.
Uchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia