Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

Huyo nae wa rangi rangi kama swahiba yake? Au siyo?
Acha kuingiza Agenda ambazo hazina mashiko. Huyo mama yako hakusema kila mzazi amlinde mtoto wake.
Kwa nini akimbilie kwa wazazi badala ya kukemea na kukataza direct? Ng'amua sasa, maana nyie bongo zenu haziwezi kuchakata kabisa mnaenda kama Manyumbu.
 
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA

"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."

— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)

View attachment 3363829

Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!

#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Huyo mbwa mambo ya nchi yetu yanamhusu nini, mwambieni amshauru Trump au haoni anavyowashughulikia wakorofi kule kwake. Hakuna serikali makini itakayokubali kulea wahuni, wahalifu, wahaini kwa kichaka cha demokrasia, hakuna.
 
We
CCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .

Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .

Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .

CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
We ni poyoyo tu
 
Hata kama una akili kidogo, ni vizuri hiho ndogo uliyo nayo uitumie vizuri.

Usiseme uchaguzi lazima ufanyike, sema uhuni ambao sisi CCM tunauita uchaguzi, tutaufanya.
Sasa ww hayo mavi kichwani ndio akili? Bwege kweli, hakuna mbwa atazuia uchaguzi na vichinjio tunavyo.
 
Giza linavyozidi kuwa nene, pambazuko linakaribia....wapenda haki, uwazi na ukweli tusikate tamaa.

Nilijua tu ile shule ya Heche na Mnyika watawala lazima waitafutie figisu.....Kwa kweli No reforms imegonga kwenye mfupa.
 
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA

"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."

— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)

View attachment 3363829

Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!

#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Adv Bob Robert Amsterdam ni mpotoshaji wa kimataifa aliepotoshwa na mteja wake anaesota korokoroni kwasababu ya uropokaji uliokiuka Sheria.

Ni sawa tu na Maria Sarungi alivyowapotosha Matha Karua na Boniface Mwangi kuhusu siasa za Tanzania.

uongo nonsense kama huo ni wakupuuzwa tu. In fact alishawahi kumtukana mkuu wa nchi yetu, na kwahiyo ni mtovu wa kimaadili huyo muungwana 🐒
 
Huyo anakumbatia agenda ya ushoga hafai kusikilizwa
 
CCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .

Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .

Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .

CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
Ndiyo maana maza haendi sn Ulaya baada ya kuchagua kuwa katili
 
ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD

DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA

Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema Yesu ni Mungu kweli? Nikasema ndiyo. Akamalizia, “kwa hiyo Mungu wenu alikufa na dunia ikabaki bila Mungu kwa siku mbili?

Hasira zangu zikapanda. Mjadala ukaisha.
Ukweli ni kuwa, Dunia ilikuwepo, Ukristo ulikuwepo na Mungu alikuwepo. Mungu wetu ana nguvu hata kifoni. Natafakari:

1. Sasa tuna wapinzani wasio na chama. Hawa ni fursa au tumekunywa uji wa mgonjwa? Bora ukose nguvu lakini upate akili.

2. Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji na mitaa wa chama kilichopelekwa likizo bila malipo, wana uhalali wa kufanya kazi?

3. Polisi, madaktari, madreva, wahudumu wa mortuary na wapishi wa viongozi wenye itikadi ya upinzani moyoni, waende likizo pia? Mnafikiri hawapo? Mnanibishia? Kuna Mserikali mmoja kaniambia mkewe alihama chumba aliposikia kanisa la Ufufuo limefungiwa kufufua! Upinzani tunao mpaka bedroom.

4. Kwa nini tunatazamiana majibu? Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa? Kwa nini mahakama inapeleka chama likizo baada ya chama kufungiwa ruzuku? Mnafikiri hayana uhusiano?! Kalaghabao! Huu ni umoja wa mihimili.

5. Ukizaa watoto wanakufa, usiwahi kuwapa majina. Subiri wakuekue. Umezaa wa 1, kapelekwa jela kwa uhaini. Ukazaa wa 2, akafungiwa asishiriki uchaguzi hata kama alikuwa hataki. Ukazaa wa 3 akanyimwa ruzuku ya bill ya maziwa. Ukazaa 4 akazuiwa asicheze na watoto wenzake. Ukazaa wa 5, akazuiwa asitoke chumbani na ndoo ya kujisaidia kapelekewa huko. Huyu hatutamkuta amegeuka paka shume?

6. Mchakato wa kufikia “upinzani usio na chama” umejaa ukweli wenye macho kodo bila kupepesa:

✅Ubaya wa Yanga hauongezi uzuri wa Simba.

-✅Likizo ya Yanga haimwamshi Simba kuingia kazini.

-✅Simba bila Yanga kwenye ligi, hata Chimpumu ya bure inadoda.

✅Simba bila Yanga, marefa, vibendera, waganga wa kienyeji na wanajimu wanakosa soko.

✅Yanga bila Simba, walalahoi wanajitambua na kudai haki zao. Mapenzi yanahamia kwenye siasa.

✅Simba bila Yanga, wanazaliwa Yanga wadogo ndani ya Simba. Kwani Gwaji katoka wapi?

7. Tulikofikia, tujifunze kutunza na kulinda amani bila kutumia silaha. Amani ya silaha na kiota cha machafuko yaliyoahirishwa.

Mnakwepa kurudi mezani? Mtakapokumbuka kurudi mezani, viti vya kukalia vitakuwa havipo. Mtakaa chini.

Wasiojulikana wanajulikana na hawapendi kujulikana. Waliotumwa wanapenda kufuta ushahidi; waliotuma wanapenda kufuta ushahidi. Dhambi isiyotubiwa hudhoofisha afya ya akili.
 
Adv Bob Robert Amsterdam ni mpotoshaji wa kimataifa aliepotoshwa na mteja wake anaesota korokoroni kwasababu ya uropokaji uliokiuka Sheria.

Ni sawa tu na Maria Sarungi alivyowapotosha Matha Karua na Boniface Mwangi kuhusu siasa za Tanzania.

uongo nonsense kama huo ni wakupuuzwa tu. In fact alishawahi kumtukana mkuu wa nchi yetu, na kwahiyo ni mtovu wa kimaadili huyo muungwana 🐒
Endeleeni Kujizima data. Time will tell.
 
Back
Top Bottom