Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

TUNAIPIGIA CCM
Kabisa mkuu
1749388677876.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyo mbwa mambo ya nchi yetu yanamhusu nini, mwambieni amshauru Trump au haoni anavyowashughulikia wakorofi kule kwake. Hakuna serikali makini itakayokubali kulea wahuni, wahalifu, wahaini kwa kichaka cha demokrasia, hakuna.
20250326_151537.jpg
 
mwambieni huyo mme wa mtui aangalie na ya marekani mbona atrump katuma majeshi kuzuia maandamano sijamsikia akilalamika au kwasababu huku kunna mke wake ndiyo maana anabwekabweka hovyo huyu juha nini??
downloadfile-10.jpg

Ajenda ya ccm hiyo na kufuga mashoga.
 
Hivi unajua no reform no election muelekeo wake?
-kwanza umeanza ku unfollow wanasiasa, wafanyabiashara, machawa,na mashoga wa chama!
-Pili?.....................
-Tatu?..............
-Nne

Kuna siku watu wataacha kulipa kodi , kwani itaonekana ni kusapoti udhalimu.Matokeo yake?
 
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA

"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."

— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)

View attachment 3363829

Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!

#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Maingizo, steering CCM
 
No electroral reforms 2025, No, elections 2025

No.ER,2025, No.E,2025
 
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA

"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."

— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)

View attachment 3363829

Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!

#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Huyu Robert Amsterdam ni raia wa USA. Kwa sasa USA imeamua ku deploy wanajeshi zaidi ya 4,000 huko jimbo la California ambako kuna riots za kutisha.

Tanzania ni kisiwa cha amani, mwambieni atupumnzishe. Kama nia yake ni demokrasia kweli angtumia muda wake kuisaidia USA.

Hapa wameng'angania kumtetea Tundu Lissu kwa matarajio ya kuruhusu ndoa za jinsia moja kama Lissu atapata madaraka.
 
moto gan sasa tulijua labda ashakata moto toka kipindi kile anabweka mpaka leo ndo namskia tena
Hebu jiulizeni huku mmefikaje? Kituo kifwatacho ni "ICC THE HAGUE" ambapo ni AMSTERDAM, jina la Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam. Hivyo kaeni kwa kutulia.
1749638753757.png
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Back
Top Bottom