Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Time to speak up! ✊🏽
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
endelea na ramli na ushirikiana wako nonsense gentleman 🐒Endeleeni Kujizima data. Time will tell.
Unachagua Nini kama Kama uchaguzi wako Sio unao chagua kweli..!?Uchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia
Hizo ni Fake Agenda. Njoo na FactsHuyo anakumbatia agenda ya ushoga hafai kusikilizwa
EACL wamevurumisha mahakamani, Kule EU kapiga banned ndege za Air Tanzania, Mmejadiliwa ndani ya Bunge la Ulaya kutokana na ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za binadamu. Kituo kinachofwata ni ICC THE HAGUE hapo akili zitawakaa sawa.endelea na ramli na ushirikiana wako nonsense gentleman 🐒
ulofa wa kifikra ni mzigo mzito sana katika kuelewa na kufahamu mambo hayo madogo mno ya hizo taasisi zenye matatizo chungu nzima.EACL wamevurumisha mahakamani, Kule EU kapiga banned ndege za Air Tanzania, Mmejadiliwa ndani ya Bunge la Ulaya kutokana na ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za binadamu. Kituo kinachofwata ni ICC THE HAGUE hapo akili zitawakaa sawa.
Endeleeni kushupaza mafuvu na shingo..........muda wa kupasuka na kuvunjika unakuja.ulofa wa kifikra ni mzigo mzito sana katika kuelewa na kufahamu mambo hayo madogo mno ya hizo taasisi zenye matatizo chungu nzima.
Pole sana gentleman 🐒
ramli ni kitu nonsense sana mwenye akili timamu kung'ang'ana nazo gentleman 🐒Endeleeni kushupaza mafuvu na shingo..........muda wa kupasuka na kuvunjika unakuja.
Huko mitaani hii nimeipenda
Uchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia
Ccm ilishakataliwa na Watanganyika wazalendo, imebaki inapumua kwa msaada wa dola tu.ramli ni kitu nonsense sana mwenye akili timamu kung'ang'ana nazo gentleman 🐒
ramli na imani potofu za ushirikina ni mzigo mzito wa kimaskini sana gentleman kifikra 🐒Ccm ilishakataliwa na Watanganyika wazalendo, imebaki inapumua kwa msaada wa dola tu.
Na matumizi haya ya dola kuiokoa ndiyo yanayosababisha Watz wadai reforms.
mwambieni huyo mme wa mtui aangalie na ya marekani mbona atrump katuma majeshi kuzuia maandamano sijamsikia akilalamika au kwasababu huku kunna mke wake ndiyo maana anabwekabweka hovyo huyu juha nini??CCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .
Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .
Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .
CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
imeliwaa tayari hiyo keki
No reforms no electionsTANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."
— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)
View attachment 3363829
Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!
#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Hii ndio kamba nyembamba iliyobaki.....maana sio tumaini hilowatu wanaotegemea polisi kusurvive political life huwa hawajali
Zikishabikiwa na machawaTeuzi za kiukoo ukoo
Mmefungia CDM ili mtujazie mauchafu yenu haya??