Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .