Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni CHAWA wa Mama, mtoto wa kiume umejigeuza mwanamke.Hahahaha Makonda ni msemaji wa Chama hahaha ila mpaka raha mno. Unajua Dkt Nchimbi alianza kusema eti sijui kudhalilisha viongozi hahaha na yeye alichambwa na Makonda live hahaha, Bashe naye akajileta naye akala mapigo hayo hayo sasa sijui nani ataibuka hahaha, ila nadhani viongozi wengi hawaelewi maana ya siasa ya hiki kizazi wanadhani ni wa enzi za Mwl Nyerere, au Mwinyi. Sasa hivi kila kitu watu wanahoji! Makonda piga kazi
Kwani ukiwa na heshima unapungukiwa na nini ndugu? Nyie watu ndio mnasababisha tunyimwe uhuru wa kutoa maoni.Nani wa kuogopa jitu bogus?
Ach Porojo kwenye ubovu wa kiserikali hakuna tofauti kati ya hayti Dr JPm na Dr SamiaKwa ufupi Dkt Samia kazungukwa. Kujinasua sasa ni ngumu sana. Awavumilie tu waendelee kuiba ili ya Dkt Magufuli na Kijazi yasimkute
Kwani alipoongoz Mwanaume Tanzania tulipata nini?Hivi ukiteuliwa ni lazima kumuogopa aliyekuteua?
Unateuliwa kumsaidia majukumu aliyokupatia.
Tuseme wazi kwamba, wanamuangusha kwa sababu ni mwanamke na CCM haipendi habari ya kuongozwa na mwanamke
Mwenyewe muoga kama kunguru wala hana nia kuwasaodia watanzania. Ameamua mambo yajiendee tu yenyewe. Kiongozi gani mwenyewe anaonesha na kusema hataki watu wamuogope. Mwanzo kabisa alimpika vijembe jpm kwa ukali hatimae akawaimbia vigogo anajua wanakula ila wale kwa kiasi. Baadae akawaambia kila kigogo ale kwa urefu wa kamba yake. Mtu gani hana hata maarifa ya uongozi. Unasema hadharani viongozi waibe hela za umma kana kwamba umma hawana masikio? Alifikiri kauli kama hizo wananchi watampenda? Labda kama mpango ni kuiba kura kwa hivyo hajali umma wanasemaje mradi vigogo watampenda.🏃🏃•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Hivi wanavyo Iba ,kuzembea kazi ni kumshauri mkuu Kwa usahihi?Rais hatakiwi kuogopwa, rais anatakiwa kuheshimiwa.
Ukimuogopa rais ndiyo mwanzo wa kuogopa kumshauri ushauri sahihi, kwa kuogopa kwamba hataupenda huo ushauri.
wateule wengi wa viongozi wanawaheshimu sana,lakini hawawaheshimu watanzania wengine wala tanzania yenyewe.Rais hatakiwi kuogopwa, rais anatakiwa kuheshimiwa.
Ukimuogopa rais ndiyo mwanzo wa kuogopa kumshauri ushauri sahihi, kwa kuogopa kwamba hataupenda huo ushauri.
Yaani Watanganyika mmekaa comfortably kabisa,mnategemea Mzanzibari awaletee maendeleo aache kujenga kwao.Hao watu ni wabaguzi by nature!•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Hakuna niliposema kwamba wanamshauri kwa usahihi. Jifunze kusoma kwa ufahamu.Hivi wanavyo Iba ,kuzembea kazi ni kumshauri mkuu Kwa usahihi?
Tatizo ni kwamba huyo "Mama" mwenyewe hawaheshimu Watanzania.wateule wengi wa viongozi wanawaheshimu sana,lakini hawawaheshimu watanzania wengine wala tanzania yenyewe.
mtu anayekata umeme bila kujisikia ni mkosefu,halafu akikaa karibu na mama anaongea naye kwa kujiamini kabisa ni kwa sababu ana uhakika hajawahi kumkosea adabu.