Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Rais hatakiwi kuogopwa, rais anatakiwa kuheshimiwa.•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema...
Nimeedit content.Hivi ukiteuliwa ni lazima kumuogopa aliyekuteua?
Unateuliwa kumsaidia majukumu aliyokupatia.
Tuseme wazi kwamba, wanamuangusha kwa sababu ni mwanamke na CCM haipendi habari ya kuongozwa na mwanamke
Nimeedit content na kutoa maana ya neno KUOGOPARais hatakiwi kuogopwa, rais anatakiwa kuheshimiwa.
Ukimuogopa rais ndiyo mwanzo wa kuogopa kumshauri ushauri sahihi, kwa kuogopa kwamba hataupenda huo ushauri.
Kuogopa si kuheshimu.Nimeedit content na kutoa maana ya neno KUOGOPA
Makonda kwa sasa anaogopewa kuliko bosi wake.•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Hawa mheshimu wala hawamuoni kama Kiongozi sababu hana sifa za uongozi.•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
fact!•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Kwa ufupi Dkt Samia kazungukwa. Kujinasua sasa ni ngumu sana. Awavumilie tu waendelee kuiba ili ya Dkt Magufuli na Kijazi yasimkute•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Hahahaha Makonda ni msemaji wa Chama hahaha ila mpaka raha mno. Unajua Dkt Nchimbi alianza kusema eti sijui kudhalilisha viongozi hahaha na yeye alichambwa na Makonda live hahaha, Bashe naye akajileta naye akala mapigo hayo hayo sasa sijui nani ataibuka hahaha, ila nadhani viongozi wengi hawaelewi maana ya siasa ya hiki kizazi wanadhani ni wa enzi za Mwl Nyerere, au Mwinyi. Sasa hivi kila kitu watu wanahoji! Makonda piga kaziMakonda kwa sasa anaogopewa kuliko bosi wake.
Kila mtu anafanya lake so long as asimguse Makonda.
Makonda baada ya kumchamba Mwanasheria mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nani sasa aliye juu yake?
Sasa kama wanajua waliteuliwa Msoga unadhani itakuwaje ?•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha.
Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu.
Hivyo nichelee kusema viongozi hawamuheshimu Rais aliyewateua.
Rais anaonekana ana nia njema ya kuwafikisha mbali Watanzania lakini hatoweza katu kama hatasimama kama amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote .
Heheheee•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.