Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

Hujasoma Uzi wangu vizuri mkuu.

Hivi Kati ya Shillah Na Lutu alie zaa Na binti zake WA kuwazaa mwenyewe Nani ana stahili kuitwa muhuni?
Hivi hizi habari za nabii Lut kuza na mabinti zake mnazipata wapi na mnaweza kututhibitishia ?
 
Huyo mwamba aliyemla kiboga dingi ake ndio balaa kuliko wote....
 
3. Ibrahim ALIMBAKA mwanamke aitwae HAJIRA. Yes what Abraham did to Hajjar amounted to statutory rape. Sarah alimwambia Ibrahim NENDA kamuingilie mjakazi wangu HAJIRA labda nitapata uzao kupitia kwake Na Ibrahim akafanya kama alivyo elekezwa Na mkewe... Hiyo ilikuwa rape. Hakukuwa Na consent upande wa HAJIRA. ..
Hii maana ya kubaka umeipata wapi ? Natamani sana ungekuwa unaandika haya kwa uadilifu na elimu.

Sasa jambo ambalo limeruhusiwa linakuwaje baya ? Unatumia vipimo gani ?
 
Sasa huyo beki tatu wa Ibu ambaye wewe unadai alibakwa mbona naskia huyo mtoto aliyekuja kumzaa baada ya kubakwa ndio aliyekuja kuwa Baba wa waislamu?

Hii niliipata kwa Pachal mayalla
 
Sasa huyo beki tatu wa Ibu ambaye wewe unadai alibakwa mbona naskia huyo mtoto aliyekuja kumzaa ndio aliyekuja kuwa Baba wa waislamu?

Hii niliipata kwa Pachal mayalla
Ndio maana Sisi waafrika tunapaswa kurejea kwenye matambiko yetu ya asili.
 
Mleta mada wote uliowataja Hamna nabii hata mmoja hapo Ibrahim,Lutu,mfalme Daudi na Nuhu hawakuwa manabii walikuwa watu wa kawaida mifano yako inaonyesha hata hujui nabii ni nani
 
Genesis 19:30-37 ( Mwanzo 19:30-37)
Kitabu cha Mwanzo kimeandikwa na nani ? Ushawahi kuthibitisha ukweli wa hizi habari au mnachukua chukua tu na kuzieneza na kuzijengea hoja ?
 
Back
Top Bottom