Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mimi pia nimeshangaaMleta mada wore uliowataja Hanna nabii hata mmoja hapo Ibrahim,Lutu,mfalme Daud hawakuwa manabii walikuwa watu wa kawaida mifano yako inaonyesha hata hujui nabii ni nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nimeshangaaMleta mada wore uliowataja Hanna nabii hata mmoja hapo Ibrahim,Lutu,mfalme Daud hawakuwa manabii walikuwa watu wa kawaida mifano yako inaonyesha hata hujui nabii ni nani
Alikuwa mtu wa kawaidaBali
Unaamini hicho unachokiamini kililetwa na wakoloni?Siyo kweli sababu jibu lako halija kidhi vigezo vya kuwa jibu kwa swali.
Fata utaratibu kisha tuendelee. Usilete utoto wa kukimbia maswali. Watu wa humu wengi huwa mnakanusha mambo msiyo kuwa na elimu nayo tukiwataka ushahidi mnakimbia.
Nakubaliana na hoja zako.Jadili hoja mkuu don't be personal
Kwa hiyo kumbe Uislam ni dini ya uzushi?Ndio maana Sisi waafrika tunapaswa kurejea kwenye matambiko yetu ya asili.
Kijana tuliza akili usiruke ruke kama bisi, tumalize kwanza hili la Abu Nawas (Abu Al al-Hassan bin Hani al-Haakam) kisha tuendelee na hili.Unaamini hicho unachokiamini kililetwa na wakoloni?
Matambiko yenu ni USHIRIKINA na kufuru.Ndio maana Sisi waafrika tunapaswa kurejea kwenye matambiko yetu ya asili.
Bali alikuwa nani ?Ibrahim hajawahi kuwa nabii
Mola muumba wa mbingu na ardhi. Rejea kitabu kitwacho "al-Bidayaat wa al-Nihayyah" kilichoandikwa na Imam Ibn Kathiir.Limeruhusiwa na Nani
Nimekuomba ushahidi wa kuzaa na mabinti zake ukaweka andiko nikakuuliza nani aliandika hilo andiko na je umehakiki vipi vipi kujua hilo andiko ni sahihi mpaka unalijengea hoja ?ILA Lutu kuzaa Na binti zake sio kufuru?
Chochote tunachokijadili hapa ni mapokeo kutoka mitazamo ya watu kutoka nchi za mbali, kutuletea tamaduni zao kwa faida ya kwao. Kama unachokiamini ni cha kweli, biashara ya utumwa isingekuwepo pamoja na kunyanyaswa kwa mwafrika kutoka kwa waarabu na wengineo kusingekuwepo. Inakuwaje anayekuletea imani, huyo huyo ndio akufanye kuwa wewe ni mtumwa? Fanya utafiti...Kijana tuliza akili usiruke ruke kama bisi, tumalize kwanza hili la Abu Nawas (Abu Al al-Hassan bin Hani al-Haakam) kisha tuendelee na hili.
Kingini mimi ni Muislamu nimejengwa katika ukweli na na kuhakiki habari toka kwenye asili. Sasa jua unajadiliana na mtu wa aina gani.
Nithibitishie ya kuwa hizi habari kutungwa au mfano wake kisha nitarudi kukupa faida kuhusu Abu Nawas na tuhakiki habari zake.
Mkuu unazo leta Ni technicalities Tu lakini ukweli unabaki kuwa pale pale Ibrahim Ni MTU muhimu kwenye Biblia.Ibrahim hajawahi kuwa nabii
Lutu alinyweshwa pombe na binti zake. Wakalala nae akiwa hajielewi.So lutu sio muhuniHujasoma Uzi wangu vizuri mkuu.
Hivi Kati ya Shillah Na Lutu alie zaa Na binti zake WA kuwazaa mwenyewe Nani ana stahili kuitwa muhuni?