Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

Chochote tunachokijadili hapa ni mapokeo kutoka mitazamo ya watu kutoka nchi za mbali, kutuletea tamaduni zao kwa faida ya kwao. Kama unachokiamini ni cha kweli, biashara ya utumwa isingekuwepo pamoja na kunyanyaswa kwa mwafrika kutoka kwa waarabu na wengineo kusingekuwepo. Inakuwaje anayekuletea imani, huyo huyo ndio akufanye kuwa wewe ni mtumwa? Fanya utafiti...
Hili ndiyo tatizo la kujadiliana na wajinga. Usihamishe mada.

Wewe umedai hizi ni hadithi nimekuomba uthibitishe hilo unajichekesha na kuhamisha mada. Mimi Abu Nawas namjua vizuri kwa kumsoma na amesingiziwa mambo mengi sana. Sasa nataka nikuonyeshe ya kuwa usiwe mtu wa kuropoka ropoka kila kitu kimehifadhiwa na kuhakikiwa na Wanaume.

Sasa jikite katika swali la msingi usihangaike hangaike.

Nasubiri ithibati kisha nikupe ukweli kuhusu Abuu Nawasi na yale anayo nasibishwa kwayo, kisha tufikie hitimisho.
 
Mkuu unazo leta Ni technicalities Tu lakini ukweli unabaki kuwa pale pale Ibrahim Ni MTU muhimu kwenye Biblia.

Anyways tufanye Ibrahimu hakuwa Nabii.

Ibrahim Ni baba WA imani so unakubaliana Na Mimi kwamba Ibrahimu Ni baba WA Imani?
Baba wa Imani Yesu Kristo

Biblia inatamka wazi kuwa imani huja kwa kusikia neno LA Kristo sio la Ibrahim
 
Hili ndiyo tatizo la kujadiliana na wajinga. Usihamishe mada.

Wewe umedai hizi ni hadithi nimekuomba ithibitishe hilo unajichekesha na kuhamisha mada. Mimi Abu Nawas namjua vizuri kwa kumsoma na amesingiziwa mambo mengi sana. Sasa nataka nikuonyeshe ya kuwa usiwe mtu wa kuropoka ropoka kila kitu kimehifadhiwa na kihakikiwa na Wanaume.

Sasa jikite katika swali la msingi usihangaike hangaike.

Nasubiri ithibati kisha nikupe ukweli kuhusu Abuu Nawasi na yale anayo nasibishwa kwayo, kisha tufikie hitimisho.
Kwa nini waarabu waliwafanya waafrika kuwa watumwa, ingawa wao walituletea dini na mpaka leo hii tunaiamini?
 
Hii maana ya kubaka umeipata wapi ? Natamani sana ungekuwa unaandika haya kwa uadilifu na elimu.

Sasa jambo ambalo limeruhusiwa linakuwaje baya ? Unatumia vipimo gani ?
Koran ndio imeruhusu kubaka house girl, sasa naona unachanganya , na imeweka verse kabisa
 
Kijana una kichwa kigumu sana. Kwanza kiri ya kuwa ulikurupuka kuandika ule ujinga ulio uandika ambao umeshindwa kuutetea. Kisha tundelee na hivi vitu unavyo vianzisha vipya.

Nipo ...
Mkuu, mbona maswali yangu mepesi unashindwa kujibu?
 
Mkuu, mbona maswali yangu mepesi unashindwa kujibu?
Langu jepesi zaidi lakini mpaka muda hutaki kujibu.

Kingine hakuna swali ambalo linanishinda kujibu, ila nataka tifate adabu na taratibu za kujadiliana, tujadili kimoja kiishe kisha kifate kingine huu ndiyo utaratibu na watu timamu huwa tunafanya hivi.

Kingine swali likiwa gumu kwangu huwa nasema sijui, ukiona sijasema sijui ujue jibu ninalo ila tu unakuwa umeharibu utaratibu, mpaka muda huu ushauliza maswali zaidi ya mawili ila yote yanataka kunitoa katika kile kiini cha mjadala wangu tulipo anzia haya ni matumizi mabaya ya akili.

Pia, muwe mnajifunza adabu za kufanya mijadala siyo mnajadiliana tu. Nacho kukumbusha ni kuwa kila kitu kinataka elimu.
 
Hata nikiandika hakiwezi kufikia ya akina Ibrahim and company Kwa hiyo itaonekana utoto utoto Tu uki compare na Hao akina Ibrahim .

Njoo pia na unabii wako juu ya yule anayehubiri kule stand Mbezi anayejiita Komanso Mashimo!
 
Karne sasa hivi bado kuna manabii🤔na maisha yenu yanaendeshwa na manabii hawa wa kwenye chanel 0001,Mungu tusaidie tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Huwezi kunifundisha dini yangu, hata kwa bahati mbaya.

Tuwekee aya tusome wote. Usiogope.
Kisa Cha safiya ni Cha kuuzunisha Sana , Muhammad alichinja familia yake na akambaka nenda kasome , alimkatakata mume wa safiya mbele yake
Safiyah was by all accounts a captive. Her father and uncle had been beheaded, and her husband was tortured to death. All her brothers and male relatives were massacred and his female relatives were enslaved by Muslims. She was alone. She was caught among the enemy.
 
Langu jepesi zaidi lakini mpaka muda hutaki kujibu.

Kingine hakuna swali ambalo linanishinda kujibu, ila nataka tifate adabu na taratibu za kujadiliana, tujadili kimoja kiishe kisha kifate kingine huu ndiyo utaratibu na watu timamu huwa tunafanya hivi.

Kingine swali likiwa gumu kwangu huwa nasema sijui, ukiona sijasema sijui ujue jibu ninalo ila tu unakuwa umeharibu utaratibu, mpaka muda huu ushauliza maswali zaidi ya mawili ila yote yanataka kunitoa katika kile kiini cha mjadala wangu tulipo anzia haya ni matumizi mabaya ya akili.

Pia, muwe mnajifunza adabu za kufanya mijadala siyo mnajadiliana tu. Nacho kukumbusha ni kuwa kila kitu kinataka elimu.
ha ha ha ha hutakiwi kutumia nguvu nyingi katika kujenga hoja kwa kitu ambacho hakina 'financial benefits'; kwa kifupi hizi imani ni miradi ya watu, ndio maana kila sehemu lazima utoe fedha kwa mfumo wa sadaka, itahitaji uwe na akili kubwa kukubaliana na ninachokisema.
 
Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah .

Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri.

Ungekuwa umeisoma Biblia kuanzia Mwanzo Hadi Ufunuo walaj usinge kuwa surprised na mtu kama Shillah kuwa Nabii.

Kwanini? Kwa Sababu ukitazama Maisha ya manabii walioandikwa kwenye Biblia halafu ukatazama Na Maisha ya Shillah basi maisha ya Shillah will be just like a Child play ( mchezo wa kitoto )

Manabii wanao heshimika ndani ya Biblia wamefanya mambo mengi ya ajabu kuliko Shillah.

Mfano Ibrahim ambae anatajwa kama Baba wa Imani.

1. Ibrahim alizaa Na dada yake ambae walishare baba mmoja ila mama mbalimbali. Yes Sara Na Ibrahim walikuwa mtu Na dada yake ambao walishare baba mmoja ila mama mbalimbali. ( Mwanzo 20:12)

NADHANI HII NDIO SABABU KWANINI IBRAHIM NA SARAH WALIKUWA NA CHANGAMOTO YA UZAZI. INAWEZEKANA WALIRITHI MAGONJWA YA KURITHI KUTOKA KWA BABA YAO ( TERAH) MAGONJWA AMBAYO YALI ATHIRI UZAZI. NDIO MAANA WALIPATA MTOTO MMOJA TU NA HATA MTOTO WAO ISAKA ALIOA AKIWA NA MIAKA 40 AKAPATA WATOTO MAPACHA AKIWA NA MIAKA 60 YANI MIAKA ISHIRINI BAADAE NA KATIKA HAO WATOTO MAPACHA YAKOBO AMBAE ALIOA KATIKA UKOO HUO HUO WA BABA YAKE ALIPATA TABU PIA KWENYE UZAZI ILIWALAZIMU WAKE ZAKE WAWILI KUTUMIA DAWA ASILI IITWAYO KWA KIZUNGU MANDRAKE AU KIMWERA " NDUTI" AMBAYO HUSAIDIA UZAZI KWA WANAWAKE. MTOTO MWINGINE WA IBRAHIM ( ISHMAEL) HAKUWA NA SHIDA YA UZAZI KWA SABABU ALICHANGANYA DAMU YANI IBRAHIMU NA MWANAMKE WA KIMISRI.

2. Ibrahim alizaa Na Suria/nyumba ndogo/ hawara/mchepuko Alie itwa Ketura


3. Ibrahim ALIMBAKA mwanamke aitwae HAJIRA. Yes what Abraham did to Hajjar amounted to statutory rape. Sarah alimwambia Ibrahim NENDA kamuingilie mjakazi wangu HAJIRA labda nitapata uzao kupitia kwake Na Ibrahim akafanya kama alivyo elekezwa Na mkewe... Hiyo ilikuwa rape. Hakukuwa Na consent upande wa HAJIRA. ..

Binti ametoka Singida kaja Dar kufanya Kazi Kwa Don halafu mke wa Don amwambie Don nenda kalale Na binti huyo WA Kazi halafu useme sio rape hiyo?
Kuna mtu atasema Ibrahim alimuoa Hajir Kwa ridhaa ya sarai. Wajameni toka lini house girl akaozwa na boss wake WA Kazi? Yani binti wa Kazi katoka Singida kaja kufanya Kazi kwako Dar halafu wewe huyo huyo ndio umuoze Kwa mwanaume Tena mwanaume mwenyewe mume wako mwenyewe?

4. Ibrahim alikuwa anamtumia Hajjir kama MTUMWA wake WA kingono ( sex slave)

Issue HII ya Ibrahim Na asarah ingetokea leo wangeweza kushitakiwa.

Nikiyatazama Maisha ya Ibrahim huwa nashangaa kwanini aliitwa baba WA imani. Kwangu Mimi baba WA Imani angepaswa kuwa Yusufu mume WA Mariam ambae aliambiwa mke wako ambae Ni bikira amepata ujauzito Kwa uwezo WA roho matakatifu and still aka Amini. Yusufu atabaki kuwa mwanaume WA Kwanza Na mwisho duniani kuamini Jambo kama Hilo. Wengi wetu tunge break up with her.

Lakini alicho kifanya Ibrahim( kuwa tayari kumtoa Mtoto wake WA kipekee Kwa ajili ya kupokea Baraka ZA Mungu/miungu) watu wengi Sana hufanya hivyo bila KUjiuliza mara mbili.


5. Luthu ( ambae alikuwa Mtoto WA kaka yake Na Ibrahim ) alizaa Na binti zake WA kuwazaa mwenyewe ( Kweli UKOO WA Ibrahim walikuwa Na tatizo Fulani katika UKOO wao hili suala la incest lilikuwa Jambo la kawaida Sana kwenye familia Yao)

6. King David was in a homosociality relationship with Jonathan. ( Sijasema homosexuality nimesema homosociality )

Hata hivyo baadhi ya wananzuoni wana toa hoja kwamba huenda Daud alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na Jonathan ( 2 Samuel 1:26)

KWENYE ANDIKO HILO DAVID ANAMWAMBIA JONATHAN KWAMBA " MAPENZI YAKO KWANGU NI MAKUBWA KULIKO YA MWANAMKE"

7. Daud alimuua Uriah ili amuoe mke wake.

8. Daud aliwahi aliwahi kuua wanaume Mia mbili halafu govi zao akazipeleka Kwa mfalme Saul kama Mahari ya binti wa Sauli aliyeitwa Malika.

9. Daud alikuwa MTU wa damu. Alichinja Na kuua malaki ya watu.
( KWA MAONI YANGU NAFIKIRI DAUD HAKUMTUMIKIA MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI BALI ALIMTUMIKIA muungu wa vita )

10. Nuhu alikuwa analewa mpaka anabaki uchi Tena baadhi ya marabbi WA kiyahudi wanatoa hoja kwamba Hamu ali mlawiti baba yake( Nuhu) baada ya kumkuta akiwa uchi amelewa ndio maana Nuhu alipo Jua alicho FANYIWA Na MWANAE AKAMLAANI.( Nuhu alimlaani Hamu Kwa Sababu Hamu aliuona Na kuujua utupu WA baba Ake)

Mifano IPO Mingi Sana nikisema niitaje yote tutakesha.

Point yangu ni kwamba mtindo WA Maisha WA Nabii Shillah is just a child play ikilinganishwa Na Maisha Na matukio ya manabii wanao tajwa kwenye bible...

So having said that, ufuatao ndio unabii wangu Kwa Mtumishi WA Mungu Nabii Shillah.

Nabii Shillah is going to be a billionaire.

Why? Because he is pretending to be a billionaire.

Kanuni ya Maisha inasema hivi " U WILL ALWAYS BECOME WHAT U PRETENDS TO BE "

FAKE IT UNTILL U MAKE IT

View attachment 2120095
Bible haitakiwi kisomwa literally, ni coded text ambayo Freemasons ndo wanaelewa kilichoandikwa, hata taji la miba la Yesu ni symbolic ya Sun rays na Yesu kuitwa Son of God but to Masons ni Sun of God ndo maana picha nyingi za Yesu zina "Halo" yaani imezungukwa na jua, the same to Wanafunzi wake 12 na mwalimu wao wa 13. Namba kumi na Tatu ni symbolic...
Na idadi ya wanafunzi 12 ni symbol ya Zodiac au saa iliyoganywa kwa robo nne..and so so...
Sina muda wa kuandika lakini hongera mtoa mada uko sahihi
Dini zote ni mind controll tools za Illuminatti
 
Back
Top Bottom