Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

IBRAHIM hakuwa nabii....NUHU hakuwa nabii.....karibia wote uliowataja hapo hawakuwa manabii.....
 
IBRAHIM hakuwa nabii....NUHU hakuwa nabii.....karibia wote uliowataja hapo hawakuwa manabii.....
Ila walikuwa watu wanao heshimika katika Bible sio?

Ibrahim ni baba WA Imani?
 
Ila walikuwa watu wanao heshimika katika Bible sio?

Ibrahim ni baba WA Imani?
Ni wateule wa MUNGU.....ni Baba wa Imani thats all.....hata wewe ukifanya dhambi ukaijutia na kutubu...Mungu anakusamehe....fanya yanayompendeza....
 
Umeandika Ujinga mtupu! Kama wewe ndiye Shillah basi nakukemea uache mara moja njia zako mbaya mbele ya macho ya Bwana!
Nadhani wewe sio mkristu maana ungekuwa mkristu ungejua nini maana ya AGANO JIPYA !

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ni wateule wa MUNGU.....ni Baba wa Imani thats all.....hata wewe ukifanya dhambi ukaijutia na kutubu...Mungu anakusamehe....fanya yanayompendeza....
Kwa hiyo hata Shillah Na yeye Ni mteule WA Mungu sio?
 
Kama Kweli una Imani nenda kamkemee Lutu Kwa Kuzaa na binti zake.
Yesu hakuja kubatilisha agano la kale.

Umekosa hoja ndio maana unakuja Na matusi.

Ujumbe umekuingia bila Shaka ndio maana ume panic
 
Kama Kweli una Imani nenda kamkemee Lutu Kwa Kuzaa na binti zake.
Yesu hakuja kubatilisha agano la kale.

Umekosa hoja ndio maana unakuja Na matusi.

Ujumbe umekuingia bila Shaka ndio maana ume panic

Nafsi yako haitaki kuukubali ukweli

Utaijua Kweli nayo Kweli itakuweka huru
 
Gazeti
 
Hujasoma Uzi wangu vizuri mkuu.

Hivi Kati ya Shillah Na Lutu alie zaa Na binti zake WA kuwazaa mwenyewe Nani ana stahili kuitwa muhuni?
HUYO LUTH ALIZAA NA BINTI ZAKE KWA KUPENDA?? AU WALIMPA POMBE WAKAMBAKA BABA YAO???
 
1. Hao wote uliowataja hapo hakuna nabii hata mmoja. Nabii ni kama Elia, Elisha na Yohana Mbatizaji.

2. Hata kama kweli wangekuwa manabii. Haimaanishi kuwa maovu waliyofanya ni halali na sisi tuyafanye.

3. Ungejenga hoja yako kwa mazuri anayofanya Shilla kwa kulinganisha na waliyoyafanya manabii. Ila kwa kulinganisha uovu, hapa umekosea mkuu.
 
Mungu hajawahi kuwaita waliostahili..Bali amewastahilisha aliowaita...
Sijui Kama umenielewa mleta thread
 
Wakati wa agano la kale Mungu anasema; Acts 17:30, so huwezi kushuhudia fake prophet act kutoka kwa wale wazee, although unaweza ukajiuliza why Mungu kwa wakati huo aliruhusu vile vitendo ni kwa makusudi gani?.
 
Sitaki kumzungumzia shila,ila Mungu amkumbuke, shetani kamuwahi kuharibu destiny!

Mmmhhh....
Ibrahim na Sara hawakuwa na changamoto ya uzazi,ila Mungu mwenyewe alilifunga tumbo la Sara kwa ajili ya Isaka mtt wa Agano!
Kuna tofauti kubwa sn hapo...

Hajiri alibakwa?
Mbona sioni hicho kinachoonyeshwa alibakwa?

Ketura aliolewa na Ibrahim baada ya mkewe Sara kufariki! (Ibrahim alikuwa na ndoa ya mke 1)
Kuzaa na hajiri kijakazi ni mke ndo aliruhusu baada ya kuona hawapati mtt!,nadhani unelewa kilichotokea baada ya yy kumpata mtt wa kwake!

Ngoja niingie hapa kwanza....
 
Umeandika kwa kejeli kubwa sana
 
Bongo kuna manabii? loh hawa wapiga miuno na wake za watu na wapaka mafuta ya alizeti? loh mmepigwa sana shtukeni kima nyie hakuna nabii wala mtume ni wajasiriamali tu , mtakuja kunishukuru baadaye
 
Umeuvusha na kuurefusha uzi wa Ibrahim na Sarai kwa kuanzisha thread mpya.....

Janja mingi mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…