Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Cheti na hela?Wawe wanatoa cheti na hela juu cheti tu nchi yenyewe hii wanao kula wachache
Atabaki na "u-koplo sugu" wake hadi baadaye!
Nchi imefikia iliko sasa sababu ya watu wa aina yako ambao wamegeuza madaraka ni kitega uchumi wanakula rushwa tu na ufisadi.Mungu ananiona uzalendo huo sina
Huyu Askari kukataa hivyo vijisenti haisaidiii chochote wakati walioko juu yake wanazipiga rushwa kama hawana akili nzuri.[emoji1541]View attachment 2413657
Tusidanganyane. Huyo aliogopa kupokea mlungula kwa kudhania anategwa.Hivihivi angekwara minoti.Nchi imefikia iliko sasa sababu ya watu wa aina yako ambao wamegeuza madaraka ni kitega uchumi wanakula rushwa tu na ufisadi.
Yaani kamanda ameacha hela amechukua cheti maajabu hayaNchi imefikia iliko sasa sababu ya watu wa aina yako ambao wamegeuza madaraka ni kitega uchumi wanakula rushwa tu na ufisadi.
Kamanda ni mzalendo kweliYaani kamanda ameacha hela amechukua cheti maajabu haya
[emoji1541]View attachment 2413657
Umeandika kwa urahisi utadhani ukiambiwa changia JF "alufu salasini" unazo!Muwe mnaacha unafiki.Wewe unatetea rushwa?
Unadhani hata angechukua ingemsaidia kwa lolote?
Njaa isikutoe akili.
Ukiwa mtu mwema, baraka zipo miguuni mwako.
Vile hujui tu
Jinga hilo likoplo sugu.Achana nalo.So Mshahara Utapandaa si ndio????
Umeandika kwa urahisi utadhani ukiambiwa changia JF "alufu salasini" unazo!Muwe mnaacha unafiki.